passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,527
- 12,507
So shup up mpaka Uhuru alikuwa anahangaika kuona vitu vinapita mbele yakeOne of the five helicopters available in Tanzania.
So shup up mpaka Uhuru alikuwa anahangaika kuona vitu vinapita mbele yakeOne of the five helicopters available in Tanzania.
Ziko wapi tuzione?Hapo uwanjani Tu zilipita kama tano
Sasa Uhuru atahangaika aje na Kenya kuna 75 army helicopters, private helicopters ndio sasa usiseme.So shup up mpaka Uhuru alikuwa anahangaika kuona vitu vinapita mbele yake
Uzione wewe kama naniZiko wapi tuzione?
Kwa sababu jeshi Lenu lipo ovyo vifaa vingi Tu aliviona tena hizo no chamtoto tu.nyie ndege zenu nasikia ni old model na zinaanguka kila Siku.Sasa Uhuru atahangaika aje na Kenya kuna 75 army helicopters, private helicopters ndio sasa usiseme.
It`s very shameful that a country like Tanzania only has five helicopters, no wonder your President was using Kenya helicopters for campaigning.Uzione wewe kama nani
Tanzanians are always full of excuses. Leo gani ilianguka? Jana gani ilianguka? What about juzi? And last week? What can you say about last? And the month before?Kwa sababu jeshi Lenu lipo ovyo vifaa vingi Tu aliviona tena hizo no chamtoto tu.nyie ndege zenu nasikia ni old model na zinaanguka kila Siku.
Whenever I start the discussion you always feel insecure. Is it that you don`t` like the truth or you are just allergic to straightforward things?huyu [mention]Teargas [/mention] ni billionaire wetu humu ndan, lkn ni ana wivu mbaya sana.. ni billionaire lkn amekaa kaa kama mlinzi vile wa maeneo ya apartments![]()
Si muliambiwa Hanna interchange Ni vimlima tu hamkuskia?
Nimeona la kenyaAngalia TV uone jeshi Bora afrika mashariki na kati
Hehehe tatu?
I concur with you BlietzKrieg, I think Magufuli was right mwanzoni mwa kipindi chake cha urais kuhusu sherehe za uhuru. Tunatakiwa kuwa na mtazamo tofauti sana na hizi sherehe za uhuru. Ni ujinga kila mwaka kukaa uwanjani Dar es Salaam au Dodoma kuangalia kwata na vifaa vya kijeshi wakati sehemu nyingine za nchi hakuna activity zozote zinazoendanda na sherehe za uhuru. Kwanza kabisa tunatakiwa kuwa na mwezi/wiki ya uhuru ambapo kunakuwa na program mbalimbali za kimaendeleo zinafanyika nchi nzima kama sehemu ya maadhimisho ya kumbukumbuku ya uhuru wa nchi yetu. Ikiwezekana siku ya kilele cha maadhimisho ziwepo pia program zinazohusisha watu kutoka mikoa mbali mbali ya nchi yetu hasa kwenye suala la maendeleo ya nchi. Tukiendelea kwa mwendo huu wa rais kukaa jukwaani na kuangalia gwaride na ndege za kijeshi itafika mahali hata hzi sherehe zitakosa msisimko kabisa lakini pia tutakuwa tunatumia fedha za walipakodi kwa mambo ambayo hayana tija sana maana kama ni suala la kumbukumbu ya uhuru tu hata mapumziko yanatosha.Wasting a whole 2 hrs na upuzi old school za kijeshi
Hadi marais wageni wamechoka, wananchi wanaondoka!!!
Repeating the same same ujinga Kila 9th December
Unaongea upumbavu ndio mana unarauliwa, sasa kwaakili zako chache yani jeshi la nchi nzima liwe na chopa tano.? 😂😂😂.mara Ooh raisi wetu alikua anatumia chopa zenu kwaajili ya kampani za uchaguzi 😂😂😂 Unafkiri kwanini usichekwe.?Whenever I start the discussion you always feel insecure. Is it that you don`t` like the truth or you are just allergic to straightforward things?
Which level of stupidy did you graduate recently? Huwezi hata kutofautisha private from govermentIt`s very shameful that a country like Tanzania only has five helicopters, no wonder your President was using Kenya helicopters for campaigning.





Ukweli pekee ndui mnaogopa. Ebu kataa kama hii sio ndege ya Kenya.Unaongea upumbavu ndio mana unarauliwa, sasa kwaakili zako chache yani jeshi la nchi nzima liwe na chopa tano.? 😂😂😂.mara Ooh raisi wetu alikua anatumia chopa zenu kwaajili ya kampani za uchaguzi 😂😂😂 Unafkiri kwanini usichekwe.?
Kwahyo hii ni ndege ya jeshi lenu.? 😂😂😂 We ni tahira wa wapi wew.?
That`s a Kenyan planem Yani seriokali nzima inakodi ndege kutoka kwa jirani.Kwahyo hii ni ndege ya jeshi lenu.? 😂😂😂 We ni tahira wa wapi wew.?