Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani ni uongo uko kwenu hakuna matajiri mpaka mnaona Toyota ni gari za maana.? Hata wasanii wenye kipato cha juu cha kati bongo magari ya toyota wameanza kuyakwepa 👇kutana na jux akiingia BENZ E-CLASS

kiba mwenyewe ana range rover na watu wako kimya tu 🤣🤣 achana na hao wajinga
 
Kw taarifa yenu wanunuzi wakubwa nchi nyingi kutoka toyota basi ni serekali wazee, nyie kumbe hamjui mambo yanavyokwenda..
Vitu vipya vile sio kila mtu ana ubavu huo, serekali yenyewe tu pia hu lease alafu contract ikiisha wanakuja kuiuza kw wenye vihela
 
kwani hujui toyota inauzia gari zake nyingi dubai ?? au unafkiri hzi toyota kenya au toyota tanzania zinatoa wapi hzo gari ??
Narudia tena, mwenye hela hanunui gari dubai..upo?

Na eti sio eti toyota wanatoa gari dubai, hzo ni ziko kw transit mzee
 
Hehee!!yani uache mpya kwenu uende ukanunue kitu ukisubirie miezi, pole sana
hujui hata gari nyingi zinazokuja africa zinatoka dubai hilo ulikua hujui 🤣🤣🤣 ndio maana dubai ndio kitovu cha biashara duniani
 
Wewe pimbi komora096 njoo nikufundishe jambo, store ya jewelry za Platnumz anauwezo wa kuwa na showroom yake ya kuuza hizo V8 zero km 👇. Hadi akina Davido uko wanafika madukani kununua vyeni vya thamani halaf wanaambiwa Platnumz alishanunua kama hiyo 👇.
 
kwani hzi toyota kenya na toyota tanzania zinachukua gari kutoka wapi??
Zinachukua, nionyeshe lini toyota kenya wanachukua gari...
Toyota kenya gari zao hazitoki dubai zinakua transit mzee...

Ile sio biashara ya tomato mr.tomoko
 
Zinachukua, nionyeshe lini toyota kenya wanachukua gari...
Toyota kenya gari zao hazitoki dubai zinakua transit mzee...

Ile sio biashara ya tomato mr.tomoko
kwasababu toyota dubai ndio distributer wa magari karibia yote africa unabisha au??🤣

transit ya kutoka wapi wakat main center yao iko dubai 😂😂😂😂
 
Hehehe!!usinitoe kwenye reli, tajiri hanunui gari dubai
Dubai ni sehemu ya ku transit magari
Ila wewe ni kilaza sana, 😂😂😂 kwahyo unataka kusema Dubai hakuna showroom za magari mapya au? Kwamba tajiri kaingia zake kwenye showroom ya Dubai,kapenda ndinga kanunua, hauwezekani.?
 
nakwambia hvi mm naeza nunua gari direct from dubai brand new ww utasema nn
ujinga muliachiwa na nani???
Bwahahaha!!wakati km hyo ipo toyota tz
Uache gari hku eti ukanunue dubai uisubiri wiki kadhaa wakati toyota tz unapata chombo kile kile tena siku hyo hyo..

Pole sana..naona ulienda missing google ukaambulia patupu mada ya RR..
Hapa hunitoi kabisa
 
Bwahahaha!!wakati km hyo ipo toyota tz
Uache gari hku eti ukanunue dubai uisubiri wiki kadhaa wakati toyota tz unapata chombo kile kile tena siku hyo hyo..

Pole sana..naona ulienda missing google ukaambulia patupu mada ya RR..
Hapa hunitoi kabisa
mtu yoyote anaeza agiza gari brand new form dubai kataa sasa🤣🤣🤣🤣

 
Ila wewe ni kilaza sana, kwahyo unataka kusema Dubai hakuna showroom za magari mapya au? Kwamba tajiri kaingia zake kwenye showroom ya Dubai,kapenda ndinga kanunua, hauwezekani.?
Uende dubai ukafanyeje wakati wamekuleta mpka nyumbani...

"Toyota tz"
 
Bwahahaha!!wakati km hyo ipo toyota tz
Uache gari hku eti ukanunue dubai uisubiri wiki kadhaa wakati toyota tz unapata chombo kile kile tena siku hyo hyo..

Pole sana..naona ulienda missing google ukaambulia patupu mada ya RR..
Hapa hunitoi kabisa
ukakosa link kua aliagiza RR marekani ningekukamua mavi usingeamini mamaeee😂😂😂😂😂 ww unaumia mwenzako kununua magari ya kifakhari waka ndoto ya kumiliki ardhi huna
 
Back
Top Bottom