komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Naona bado unajitia utahira[emoji1787][emoji1787]Kwani ni uongo uko kwenu hakuna matajiri mpaka mnaona Toyota ni gari za maana.? Hata wasanii wenye kipato cha juu cha kati bongo magari ya toyota wameanza kuyakwepa [emoji116]kutana na jux akiingia BENZ E-CLASS
Kuna tofauti wa kununua gari aina ya toyota na kununua gari toyota kenya/tanzania..
Acha kukurupuka mzee