Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehe!!RR unaenda kununua marekani na wakati UK ndio home..pili unaenda kuchukua kitu right hand drive wakati left hand zitele na ndio toleo la uingereza..
Pole yake sana..

Km ilikua ana hela ya kununua mpya angelienda UK atolewe chombo jikoni cha left hand drive ajitolee karatasi mwenywe
UK wanatumia left hand vilee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maskini ya Mungu...
Mwenzako zero kilomita waijua na delivery yake waijua kwel..
Unafikiria zero kilomita inaletwa ikishateremshwa tayari unaingia kwenye leather tayari na ku drive...

Si ajabu ntakua nabishana na tahira, ushawai ona gari mpya wakati wa delivery huaga ina vitu gani na gani
leta link kua kanunua usa ni kuwashe mbona unageusa mada 🤣🤣🤣🤣🤣

tatizo lenu munajitia ujuaji wa kila kitu na hamuna kitu munajia
 
Tuonyeshe ndege zenu za civilian mzee, km tayari wasaani wenu wanakuja kukodi kenya... hyo inakaaje mzee
mada ya rolls royce imekutokea takoni 😂😂😂😂😂 kwamba ww ndio ulioagiza hio gari
 
leta link kua kanunua usa ni kuwashe mbona unageusa mada

tatizo lenu munajitia ujuaji wa kila kitu na hamuna kitu munajia
Enheee!!uingereza hakuna tolea la right hand mzee, hzo zinakwenda kulingana na order sana sana nchi ambazo wanatumia right hand drive ndio zinapelekwa hko..

Domo kanunua second hand
 
Uk( uingereza) RR home mzee ni left hand drive..mbona jamaa aende kuchukua right hand drive marekani
kwani ww ukiagiza gari siunaagiza kulingana na matakwa yako wewe au??😃😃😃 au nchi zinazo tumia right hawanunui uk hvi ww ni mshamba wa wapi 😃😃😃😃😃
 
RR second hand
Alafu wewe huna ubavu wa kununua gari toyota kenya..
Unafikiria toyota kenya wanauza mikweche iliyotumika nje
Umesjikia ulivyo chizi gari ni ya 2021 halaf eti unapiga kelele ni second hand,ilitumika mwaka gani.? 😂😂😂 u must be crazy.. halafu unasema kwamba watz "hawawezi nunua toyota za kenya" 😂😂 toyota za kenya.? Kwani hapo kenya kuna kiwanda cha toyota.? Au unajisahaulisha kwamba meli ya magari inatoka mojola kwa moja from Japan to Tanzania.?
 
Enheee!!uingereza hakuna tolea la right hand mzee, hzo zinakwenda kulingana na order sana sana nchi ambazo wanatumia right hand drive ndio zinapelekwa hko..

Domo kanunua second hand
so nchi zinazotumia right haziagizi uingereza leo acheni tu nicheke wallah 😃😃😃 munatia huruma aloooo
 
kwani ww ukiagiza gari siunaagiza kulingana na matakwa yako wewe au?? au nchi zinazo tumia right hawanunui uk hvi ww ni mshamba wa wapi
Hehehe!!eti matakwa
Jamaa kaenda kununua vyuma vya wenyewe marekani akawa hana budi kukubali right hand drive manake ni second hand...
Zote tatu kisha
 
Hehehe!!uingereza hawauzi RR right hand drive mzeepole sana
hvi nani aliwaroga nyinyi 🤣🤣🤣🤣



C3F5D2EF-499F-4E8B-A7C1-D3EF44406719.jpeg
 
Umesjikia ulivyo chizi gari ni ya 2021 halaf eti unapiga kelele ni second hand,ilitumika mwaka gani.? u must be crazy.. halafu unasema kwamba watz "hawawezi nunua toyota za kenya" toyota za kenya.? Kwani hapo kenya kuna kiwanda cha toyota.? Au unajisahaulisha kwamba meli ya magari inatoka mojola kwa moja from Japan to Tanzania.?
Point of correction, toyota kenya wala sio toyota za kenya..
Kuwa makini mzee utaumbuka, kule hakuna vitu second..
Hata mondi mwnywe mi V8 yake pia ni second hand
 
kwani ww ukiagiza gari siunaagiza kulingana na matakwa yako wewe au??😃😃😃 au nchi zinazo tumia right hawanunui uk hvi ww ni mshamba wa wapi 😃😃😃😃😃
Huyo ni mpuuzi mmoja wa msambweni mombosani hapo 😂😂😂 wazee wa "maa chapati innishindaaa"
 
Back
Top Bottom