Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mtu yoyote anaeza agiza gari brand new form dubai kataa sasa

Hehehe!!"sell your car sio"

Sell your car with Dubi Cars, the UAE's most trusted marketplace..

Hzo platfform zote wanauza used, icho naishi katika port city...
Nayafahamu yote hayo..
Ukitaka gari dubai jipange kuletewa kitu used
 
ukakosa link kua aliagiza RR marekani ningekukamua mavi usingeamini mamaeee ww unaumia mwenzako kununua magari ya kifakhari waka ndoto ya kumiliki ardhi huna
Maskini, jamaa kapotea nusu google kuhusu RR akarudi mtupu
 
Hehehe!!"sell your car sio"

Sell your car with Dubi Cars, the UAE's most trusted marketplace..

Hzo platfform zote wanauza used, icho naishi katika port city...
Nayafahamu yote hayo..
Ukitaka gari dubai jipange kuletewa kitu used
brand new unasema used 🤣🤣👇👇
 
brand new unasema used
Mada ya toyota imekua moto
Leo umekalia kuti kavu mzee
 
Wewe pimbi komora096 njoo nikufundishe jambo, store ya jewelry za Platnumz anauwezo wa kuwa na showroom yake ya kuuza hizo V8 zero km . Hadi akina Davido uko wanafika madukani kununua vyeni vya thamani halaf wanaambiwa Platnumz alishanunua kama hiyo .
Hzo cheni zisikutishe, mtu ambae naeza mkubali no davido tu na pale alipikutana na lil baby hko kw hayo maduka
 
We mbona huelewki.? Heb twende na mada moja moja, mbona unachanganya madesa.?
Mada ya RR mumesanda mkaja kw toyita nikawapiga fimbo za kiyahudi eti sai mnajitia kusahau km tunaongelea nini
Muulize mwenzako aliyetaja dubai, alikua anataja magari gani hayo
 
Mada ya RR mumesanda mkaja kw toyita nikawapiga fimbo za kiyahudi eti sai mnajitia kusahau km tunaongelea nini
Muulize mwenzako aliyetaja dubai, alikua anataja magari gani hayo
We hujielewi kumbe 😂😂😂😂😂 Heb nenda kakojoe ukalale
 
09 December 2021
Dar es Salaam, Tanzania

Happy Independence day ! Dar Es Salaam City Walk Tanzania .TZ

Happy Independence Day! On today's episode we take a casual walk down town Dar Es Salaam on independence day. December 9. Tanzania Independence Day is a celebration of independence from the British in 1961 of Tanganyika, which merged with Zanzibar in 1964 to become Tanzania.
Rush Hour time in Upanga East, Red Cross, Maktaba, Azikiwe , Bibi Titi, Kisutu,

Source: Inspire For Travel
 
Back
Top Bottom