Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Point of correction, toyota kenya wala sio toyota za kenya..
Kuwa makini mzee utaumbuka, kule hakuna vitu second..
Hata mondi mwnywe mi V8 yake pia ni second hand
We unaumizwa na wivu kumbe haya pole, V8 hizihiz ambazo zimezagaa hapa Dar Mondi anunue second hand 😂😂😂, Chizi kweli wewe
 
so nchi zinazotumia right haziagizi uingereza leo acheni tu nicheke wallah munatia huruma aloooo
Heheeee!!RR zina branch marekani

Each Rolls-Royce motor car is built by hand at our state-of-the-art manufacturing facility and headquarters in Goodwood, England. Designed by architect Sir Nicholas Grimshaw and merging effortlessly into the beautiful West Sussex countryside, the award-winning building was created to lower our environmental footprint.
 
We unaumizwa na wivu kumbe haya pole, V8 hizihiz ambazo zimezagaa hapa Dar Mondi anunue second hand , Chizi kweli wewe
Hehehehe!!v8 mpya, subutu..
Unafikiria wakenya ni matahira km nyieee
Eti v8 mpya ni ile iliyoletwa kw birthday ya tanashaee
 
*****...ebay alafu hzo results sasa
Ingia kw website yao, mzee hzo gari hazitengezwi kizembe hayo yanaundwa kw idadi flani na order tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
 
😂😂😂 na anazo tatu za 2020
Huyo mtoto ni tahira huyo, anateseka sana anapoona kuna eneo tumewazidi, atatafuta kila aina ya uongo Ili waonekane wao ndio wapo juu😂😂😂, na ndio tabia za wapuuzi wengi wa kikenya humu ndani
 
Heheeee!!RR zina branch marekani

Each Rolls-Royce motor car is built by hand at our state-of-the-art manufacturing facility and headquarters in Goodwood, England. Designed by architect Sir Nicholas Grimshaw and merging effortlessly into the beautiful West Sussex countryside, the award-winning building was created to lower our environmental footprint.
nimekwambia leta link kua alinunua usa nifunge acc sasa hvi mbona maneno mengi sana 😂😂😂😂😂😂
 
Huyo ni mpuuzi mmoja wa msambweni mombosani hapo wazee wa "maa chapati innishindaaa"
Njoo ununue gari toyota kenya mzee km una ubavu
Achana na vitu used mzee, yani gari karatasi unajitolea mwnywe..achana na wengine eti 0kilomita alafu baada ya delivery jamaa kaingia na kuketia leather bana...

Tz kuna mafala sana
 
Huyo mtoto ni tahira huyo, anateseka sana anapoona kuna eneo tumewazidi, atatafuta kila aina ya uongo Ili waonekane wao ndio wapo juu, na ndio tabia za wapuuzi wengi wa kikenya humu ndani
Mbona kilio mzee, kwn km gari second hand ndio tusiseme
 
Njoo ununue gari toyota kenya mzee km una ubavu
Achana na vitu used mzee, yani gari karatasi unajitolea mwnywe..achana na wengine eti 0kilomita alafu baada ya delivery jamaa kaingia na kuketia leather bana...

Tz kuna mafala sana
kwani toyota tanzania hakuna ??😂😂😂 toyota zimetapakaa dunia nzima
 
Hehehehe!!v8 mpya, subutu..
Unafikiria wakenya ni matahira km nyieee
Eti v8 mpya ni ile iliyoletwa kw birthday ya tanashaee
We kumbe ni mbumbumbu huku bongo V8 ni gari ya kawaida sanaa zipo nyingi mnoo mitaani, mondi tangu amekua star mkubwa hajawahi nunua gari used mzee.. tena siku hiz ndio balaa kwasababu ana ujeuri wa kununua mpaka cheni za almasi kwa 150k US dollar, ndio ashindwe kununua V8 mpya.. .? 😂😂😂
 
mbona hashangai kiba kanunua range rover 2021 😂😂😂😂
 
Njoo ununue gari toyota kenya mzee km una ubavu
Achana na vitu used mzee, yani gari karatasi unajitolea mwnywe..achana na wengine eti 0kilomita alafu baada ya delivery jamaa kaingia na kuketia leather bana...

Tz kuna mafala sana
Kwani ni uongo uko kwenu hakuna matajiri mpaka mnaona Toyota ni gari za maana.? Hata wasanii wenye kipato cha juu cha kati bongo magari ya toyota wameanza kuyakwepa 👇kutana na jux akiingia BENZ E-CLASS
 
Back
Top Bottom