Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Zero facts 😂 😂 😂 😂 ., unalazimisha fikra zako.., in Tanzania, ni Kenya, Waarabu na wahindi tumeiteka, ukiongezea na CCM., nyinyi wengine makajamba mpo mpo tu, mmezubaa., 😂 😂 😂 😂 😂Wakunya ni mara ngapi niwapeni somo la GDP ,basi kwa mara nyingine tena natoa ilo somo
GDP YA KWENYA 80% NI MALI YA MABEBERU NA ASILIMIA 20% TU NDIYO MALI YA WAKENYA ,WAKATI GDP YA TANZANIA 20% NI MALI YA MABEBERU NA 80% NDIYO MALI YETU WATZ hii unaweza kuproof kwa nigeria ina GDP kubwa ila wananchi ni mafukara kwa sababu ni GDP YAO 76% NI MALI YA MABEBERU ISIPOKUWA 24% ONLY NDIYO MALI YA WANIGERIA ,Tena kwa kenya hiyo percent unatoa GDP YA KUPIKA AMBAYO ZAIDI YA 30% YA GDP MNAYODANGANYA KUWA NAYO NI YAKUPIKA, LENGO NI KUIFANYA KENYA IKOPESHEKE NA KUWADANGANYA WAWEKEZAJI WAVUTIWE NA KENYA ,NA KUFANYA KENYA ISIONEKANE KUPITWA NA ETHIOPIA maana hivi majuzi wakenya waliumia sana kupitwa na ethiopia


