Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama Ndege Zimekuja and they are kore costful ..treni hazitasumbua kuja..Issue kubwa ni wamalizie hilo daraja kipande kilichobaki..na kipande cha kuelekea port
then

Wa resume construction of Kinyreze 1 Extension 185 Mw

Wa proceed na kutafuta mkandarasi wa Kinyerezi 3 600mw na Kinyerezi 4 450mw...we cant be depending on hydro..wakati picha tushaanza kuliona..we need more electricity that is no water dependent..
Bwawa la nyerere ndiyo mkombozi wa kweli msijidanganye na gesi wanaokwamisha ilo bwawa wanaweza kuwa ni pamoja na wadau wa gesi maana umeme wa ilo bwawa utasababisha mafisadi wa gesi kushindwa kupandisha bei watakavyo kwa sababu watu watatumia umeme kupikia hivyo nyinyi msio elewa siri ya hizi figisu bora mnyamaze kuliko kusema umeme wa maji siyo wa uhakika
 
Huwa nawashangaa sana watu wakiongelea umeme wa gesi mbele ya umeme wa maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ni wasen****ge original ....over
Ni team mafisadi wanataka kuwanufaisha mabeberu wanao miliki gesi kwa kumilikishwa na fisadi kikwet ,sasa bwawa la umeme litasababisha washindwe kutuuzia gesi kwa bei ya kifisadi ,
 
Na washafeli tayari, jemedari alituacha pazuri kiasi so ni lazima huu mradi uishe watake wasitake, pia SGR lazima iishe.

Unajua viongozi wengi pale CCM hawako kitaifa kabisa wapo kimaslahi yao binafsi, waligeuza misingi ya CCM kutoka ya kijamaa na kuwa ya kinyonyaji, CCM iligeuka maala pa kuchuma, ss jemedari alikuja kuwakumbusha na walianza kumuelewa kdg but kifo chake kimewasahaulisha misingi wameanza kugombania mali, shida ni kwamba wametukuta Watz wa ss ni modern na tunaojielewa hivyo hawawezi kufanya upuuzi wao waliozoea ama wakilazimisha patachimbika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanairo
IMG_20180317_1151030.jpg
Barini - Exterior.jpg
IMG_20210714_161321 (1).jpg
20200530_100556.jpg
 
Na washafeli tayari, jemedari alituacha pazuri kiasi so ni lazima huu mradi uishe watake wasitake, pia SGR lazima iishe.

Unajua viongozi wengi pale CCM hawako kitaifa kabisa wapo kimaslahi yao binafsi, waligeuza misingi ya CCM kutoka ya kijamaa na kuwa ya kinyonyaji, CCM iligeuka maala pa kuchuma, ss jemedari alikuja kuwakumbusha na walianza kumuelewa kdg but kifo chake kimewasahaulisha misingi wameanza kugombania mali, shida ni kwamba wametukuta Watz wa ss ni modern na tunaojielewa hivyo hawawezi kufanya upuuzi wao waliozoea ama wakilazimisha patachimbika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari ni vijimikataba wanavyo ingia kama vile vya software ni hujuma kwa tanesco ,ukivitazama hivyo vimikataba utagundua ni endelevu wanaendelea kuchuma day and day kama mikataba ya umeme iliyopita ilivyokuwa ,pia wanaweza wakaingia mkataba na watu wa gesi kwenye ujenzi wa ili bwawa ili mafisadi wa gesi waweze kuwa na mkono kwenye huu umeme wa maji.....hatari ni kubwa sana tena ni real
 
Back
Top Bottom