Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sawa, ni bora umepata huo ufaham.. kwahio gas ya huko mtwara.. kuna majamaa wengine wana mkono wao.. hayupo serikali peke, japo yeye ndo kajenga hilo bomba..
gas power plants iwe option ya mwisho tukishindwa kujenga power plant nyingine.. hujuilizi kwann Magu alitaka tujenge JNHPP na plants za yale makaa ya mawe .. unadhan alikuwa hajui kuna bomba la gas? no alikuwa anajua.. ila kuna vishoka ndan yake.. so akataka kujenga plants ambazo yupo serikali peke yake
Naelewa kila kitu mkuu.

Naelewa kwanini JPM aliweka nguvu kwenye ujenzi wa JNHP.

Naelewa kwanini mradi wa JNHP ulikuwa unapingwa kwa mgongo wa eti uharibifu wa mazingira.
 
Hiyo sheria ya China nmekuwa nikiiwaza sana, hata leo kipindi naenda job nikawa nafikiria kitu kama hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo mtu anafanya ufisadi halafu unamuhukumu kulipa faini halafu unamuachia ni mambo ya ajabu sana.

Ukifanya ufisadi unalimwa chuma hadharani ili iwe fundisho kwa wengine.
 
sawa, ni bora umepata huo ufaham.. kwahio gas ya huko mtwara.. kuna majamaa wengine wana mkono wao.. hayupo serikali peke, japo yeye ndo kajenga hilo bomba..
gas power plants iwe option ya mwisho tukishindwa kujenga power plant nyingine.. hujuilizi kwann Magu alitaka tujenge JNHPP na plants za yale makaa ya mawe .. unadhan alikuwa hajui kuna bomba la gas? no alikuwa anajua.. ila kuna vishoka ndan yake.. so akataka kujenga plants ambazo yupo serikali peke yake
Leo ndio nmezi prove hisia zangu kwamba ilikuwa lazima yatokee yaliyotokea mwaka huu mwezi wa 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli died in a Kenyan hospital called Nairobi
That stupid Hospital is very bogus, nor any sane person can think about it, come and see how Hospitals look like, there is nor any Tanzania's leader who thinks about Kenyan Hospital
1)Mlima Kilimanjaro upo Kenya
2) Diamond ni Mkenya
3)Olduvai Gorge ipo Kenya
4) Magufuli amefia Kenya
 
Haya mambo mtu anafanya ufisadi halafu unamuhukumu kulipa faini halafu unamuachia ni mambo ya ajabu sana.

Ukifanya ufisadi unalimwa chuma hadharani ili iwe fundisho kwa wengine.
Kweli mkuu watu Wanafanya ufisadi bila wasiwasi maana wanajua mwisho wa siku they will be free
 
Wakunya ni mara ngapi niwapeni somo la GDP ,basi kwa mara nyingine tena natoa ilo somo
GDP YA KWENYA 80% NI MALI YA MABEBERU NA ASILIMIA 20% TU NDIYO MALI YA WAKENYA ,WAKATI GDP YA TANZANIA 20% NI MALI YA MABEBERU NA 80% NDIYO MALI YETU WATZ hii unaweza kuproof kwa nigeria ina GDP kubwa ila wananchi ni mafukara kwa sababu ni GDP YAO 76% NI MALI YA MABEBERU ISIPOKUWA 24% ONLY NDIYO MALI YA WANIGERIA ,Tena kwa kenya hiyo percent unatoa GDP YA KUPIKA AMBAYO ZAIDI YA 30% YA GDP MNAYODANGANYA KUWA NAYO NI YAKUPIKA, LENGO NI KUIFANYA KENYA IKOPESHEKE NA KUWADANGANYA WAWEKEZAJI WAVUTIWE NA KENYA ,NA KUFANYA KENYA ISIONEKANE KUPITWA NA ETHIOPIA maana hivi majuzi wakenya waliumia sana kupitwa na ethiopia
I like your analogy, do you have any data for both countries,most importantly the 80:20 beberu?
 
Haya mambo mtu anafanya ufisadi halafu unamuhukumu kulipa faini halafu unamuachia ni mambo ya ajabu sana.

Ukifanya ufisadi unalimwa chuma hadharani ili iwe fundisho kwa wengine.
Hapo tungeendelea fasta lkn co haya mambo ya kuchekeana chekeana, mfano ajira tu za serikali pale utumishi enzi za Magu walikuwa wanaogopa kweli kweli kuingizana, ajira zilikuwa chache lkn wanaopata walikuwa wanastahili, lkn sasa tumerudi kule kule, tra wametangaza nafasi za kazi, za chinichini inasemekana wameshaingizwa 126 kwa vimemo kutoka juu, yn tumerudi kule kule na inawezekana ikawa hovyo zaidi, kuna baadhi ya maofisa wa serikali bado hawajagundua kama tuna incompetent govt, wakistukia tu hali itakuwa mby zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu bring that 80% facts here uwache rumour mongering juu ya wivu, why do tanzanians console themselves with lies and rumours wakishindwa? your list of wealthy people are mostly arabs and hindus
Kwani unadhani ni kwanini serikali yenu inashindwa kujenga hata 1km za sgr kwa pesa zenu ....hiyo ni elimu ya kweli ,maana yake uchumi wa kenya 80% nikwaajili ya manufaa ya mabeberu na 20% ndiyo kwa maslai ya wakenya
 
sawa, ni bora umepata huo ufaham.. kwahio gas ya huko mtwara.. kuna majamaa wengine wana mkono wao.. hayupo serikali peke, japo yeye ndo kajenga hilo bomba..
gas power plants iwe option ya mwisho tukishindwa kujenga power plant nyingine.. hujuilizi kwann Magu alitaka tujenge JNHPP na plants za yale makaa ya mawe .. unadhan alikuwa hajui kuna bomba la gas? no alikuwa anajua.. ila kuna vishoka ndan yake.. so akataka kujenga plants ambazo yupo serikali peke yake
Mimi naelewa hili sana..na nilishawahi kuweka documents humu sijui kama nnazo bado..Gas lazima ichimbwe na company za nje kisa TPDC auziwe..ingwa TPDC ana hisa ndani ya hizo company ..bado hizo hisa ni chache kuleta faida kwa Taifa...na nilisha bishana hata na watu twitter..

Tupate kiongozi kama Magu atakaye renegotiate ..mikataba maana Gas ni nying na haiishi leo wala kesho lasyvyo tutapigwa maisha yote...

Am not against JNHPP..kujengwa na naelewa hydro ni cheap..Na natamanu liishe soon
.Kitu cha kuangaliwa lisiwe subbotaged..na watendaji wanabaki kuachia maji na kisha kusema mvua hamna ..

Also climate change means we need energy mix..

Kama mnajua swala hili vizuri..

Gas ya mtwara ziko sehemu mbili (hii sio ya songosongo)

1.Onshore 5% less than
2.Offshore 95%

Tunayoutumia na inayochimbwa currently ni Onshore .na moja ya compnay inaitwa wentworth ..hii pipeline inaweza kutumika kwa zote

Project ya kujenga LNG itahusisha Off shore maana hio ndo iko nying..na mikataba Haijasainiwa bado...je viongozi waliopo sasa wataangalia maslahi ya nchi au ndo mambo ya 10%...kama wakiangalia Nchi Basi Offshore inatosha kutupa profit kubwa Tz ...

hii onshore nakubali mikataba ishakaa hovyo na itakuwa ngumu ku salvage chochote..

Lwiva @
 
Mradi WA kitega uchumi Dodoma courtesy of owm-tz
owm_tz-post-2021_12_02_12_03-3.jpg
owm_tz-post-2021_12_02_12_03-2.jpg
owm_tz-post-2021_12_02_12_03-1.jpg
owm_tz-post-2021_12_02_12_03.jpg
 
That stupid Hospital is very bogus, nor any sane person can think about it, come and see how Hospitals look like, there is nor any Tanzania's leader who thinks about Kenyan Hospital
1)Mlima Kilimanjaro upo Kenya
2) Diamond ni Mkenya
3)Olduvai Gorge ipo Kenya
4) Magufuli amefia Kenya
Ukweli umekutesa unajiliwaza, zoea ukweli, vumilia maumivu 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom