Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
$106b vs $65b
Number never lie


$106b vs $65b


Tumewajuza mapema tu ... Taratibu tunaenda kuwa taifa la kwanza Africa mashariki na kati lenye majiji mawili yaliyojengeka haswaa
GDP ya Tz ina reach $110bn kiuhalisia na ndiyo maana unaona tunafanya mambo makubwa kuliko nchi yoyote East and Central Africa, but the original GDP ya Kenya ni $67bn na ndiyo maana njaa na magonjwa hayawaachi.$106b vs $65b
Number never lie![]()
GDP imetwaliwa na madeni ya mchina 🤣🤣🤣🤣🤣 kopa ongeza mfuko alaf kulipa matanga kesho utaskia bandari ya mombasa imeshikwa na mchinaBado GDP ni $106 na haya yote
GDP ya Tz ina reach $110bn kiuhalisia na ndiyo maana unaona tunafanya mambo makubwa kuliko nchi yoyote East and Central Africa, but the original GDP ya Kenya ni $67bn na ndiyo maana njaa na magonjwa hayawaachi.
Sent using Jamii Forums mobile app

$106b vs
$65b.
47m vs
60m Ukitaka kuamini ninachokisema angalia mambo tunayofanya, tunajenga electrified SGR ambayo hakuna nchi yoyote East and Central Africa itajenga kwa kwa miaka 50 ijayo, tunajenga BRT system ambapo inakwenda kuwa mradi wa nchi nzima na hakuna nchi yoyote East and Central Africa itafanya mradi kama huu, tunanunua ndege kwa cash basis na hakuna nchi yoyote East and Central Africa inaweza fanya, tunajenga mji wa kisasa zaidi Afrika kwa pesa za ndani, tunajenga bwawa kubwa la kuzalisha umeme kwa pesa za ndani, miradi ya maji na mambo kibao ambayo kwenu ni ndoto, bado huamini kwamba GDP yetu ni zaidi ya $110bn?![]()
$106b vs
$65b.
Population47m vs
60m
Land size Tanzania Mara mbili ya Kenya.
Unajua you should view things in diffrent angles .nini umuhimu wakukopa 500 mil usd kujenga Bomba la Gesi la mtwara kama liko underutilized..ni kama vile hatuna plan na tunachotaka kufanya..Mimi am not against JNHpP kuisha ..but energy mix is neededBwawa la nyerere ndiyo mkombozi wa kweli msijidanganye na gesi wanaokwamisha ilo bwawa wanaweza kuwa ni pamoja na wadau wa gesi maana umeme wa ilo bwawa utasababisha mafisadi wa gesi kushindwa kupandisha bei watakavyo kwa sababu watu watatumia umeme kupikia hivyo nyinyi msio elewa siri ya hizi figisu bora mnyamaze kuliko kusema umeme wa maji siyo wa uhakika
Unajua you should view things in diffrent angles .nini umuhimu wakukopa 500 mil usd kujenga Bomba la Gesi la mtwara kama liko underutilized..ni kama vile hatuna plan na tunachotaka kufanya..Mimi am not against JNHpP kuisha ..but energy mix is needed
Naona na reserve ya brt hapo katiMagufuli City coming up nicely![]()

Mlugaluga gani wa Kikenya anakutisha?naombeni munipatie ulinzi manake vitisho vimekua vingi sana jamani NDINDA The best 007 Geza Ulole Simon Shebby01
mido income, mido walks , mido kila kitu🤣Makunya kwa kuiga hayajambo, yani yanapenda kuiga jambo lolote la Ulaya na US pasipo kuangalia side effects, ona hapa yameiga US hizi sidewalks kuwa katikati, yamesahau kwamba Madereva ya kikunya mengi ni malevi ya chang'aa na maaskari yao ni mazee ya rushwa. Makenya hayana akili.View attachment 2030926
Sent using Jamii Forums mobile app
Ehh Njaa ya pesa,,we are not lazy ka bongolalas
Acha nimnukuu Jay Z kwa wimbo wake Tomford anasema, "number don't lie check the scoreboard..." Yani kwa kiswahili sababu najua huelewi kizungu anasema "number hazidanganyi"Ukitaka kuamini ninachokisema angalia mambo tunayofanya, tunajenga electrified SGR ambayo hakuna nchi yoyote East and Central Africa itajenga kwa kwa miaka 50 ijayo, tunajenga BRT system ambapo inakwenda kuwa mradi wa nchi nzima na hakuna nchi yoyote East and Central Africa itafanya mradi kama huu, tunanunua ndege kwa cash basis na hakuna nchi yoyote East and Central Africa inaweza fanya, tunajenga mji wa kisasa zaidi Afrika kwa pesa za ndani, tunajenga bwawa kubwa la kuzalisha umeme kwa pesa za ndani, miradi ya maji na mambo kibao ambayo kwenu ni ndoto, bado huamini kwamba GDP yetu ni zaidi ya $110bn?
Sent using Jamii Forums mobile app
vs $65b