Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ishu sio bomba kuwa utilized.. kwenye gas kuna watu baadhi wana chao hapo kwenye hilo bomba.. gas processing!! (mfano ni Songas ambao sio ya serikali)

JNHPP hakuna mtu mwingine yeyote hapo zaid ya serikali peke yake
Ndivyo walivyo viongozi wengi wa kiafrika wamejizoesha mchezo mchafu wa 10% mpk imekuwa kama sheria kwao, mfano mdogo tu kwenye banks wanapambana kuzikuza private banks kama CRDB na nmb kwa kulazimisha mishahara ya watumishi ipitie huko wkt bank ya posta ambayo inamilikiwa na serikali kwa 100% ipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha nimnukuu Jay Z kwa wimbo wake Tomford anasema, "number don't lie check the scoreboard..." Yani kwa kiswahili sababu najua huelewi kizungu anasema "number hazidanganyi"

$106b vs $65b

Wewe endelea kubishana na upepo. Kila nchi inajenga kitu ata Somalia na south Sudan wanajenga tuu.
Ok let me argue with you using that fuckin whites language, you say all the countries even Somalia and South Sudan are building the infrastructures similar to those which have been built in Tanzania, just mention to me even a single mega project like BRT system, cable stayed bridges, modern Airpots, modern bus terminals, electrifitried SGR, found in those countries including Kenya.

Number is nothing but figures, you die of hunger, live in slums, unemployment, water scarcity, insecurity, poor health system, but still you are singing fake GDP
 
Acha nimnukuu Jay Z kwa wimbo wake Tomford anasema, "number don't lie check the scoreboard..." Yani kwa kiswahili sababu najua huelewi kizungu anasema "number hazidanganyi"

$106b vs $65b

Wewe endelea kubishana na upepo. Kila nchi inajenga kitu ata Somalia na south Sudan wanajenga tuu.
Yes numbers dont lie but how come a small economy can do great things that a big economy can not even think of attempting them. Something is wrong somewhere and it must be that numbers are actually lying. On the numbers on paper the reverse is also true.
 
Unajua you should view things in diffrent angles .nini umuhimu wakukopa 500 mil usd kujenga Bomba la Gesi la mtwara kama liko underutilized..ni kama vile hatuna plan na tunachotaka kufanya..Mimi am not against JNHpP kuisha ..but energy mix is needed
Wewe ukusikia kuwa gesi tumepigwa ....hii bei ya gesi tunayo nunua leo ni mara tatu ya bei iliyotakiwa tuuziwe kama serikali ya kikwete isingefanya ufisadi kwenye gesi ,sijui kama unaelewa ndiyo maana magufuli aliamua kujenga ilo bwawa ,tena umeme wa maji ni nafuu zaidi ya mara 4 ya wagesi
 
Acha nimnukuu Jay Z kwa wimbo wake Tomford anasema, "number don't lie check the scoreboard..." Yani kwa kiswahili sababu najua huelewi kizungu anasema "number hazidanganyi"

$106b vs $65b

Wewe endelea kubishana na upepo. Kila nchi inajenga kitu ata Somalia na south Sudan wanajenga tuu.
Wakunya ni mara ngapi niwapeni somo la GDP ,basi kwa mara nyingine tena natoa ilo somo
GDP YA KWENYA 80% NI MALI YA MABEBERU NA ASILIMIA 20% TU NDIYO MALI YA WAKENYA ,WAKATI GDP YA TANZANIA 20% NI MALI YA MABEBERU NA 80% NDIYO MALI YETU WATZ hii unaweza kuproof kwa nigeria ina GDP kubwa ila wananchi ni mafukara kwa sababu ni GDP YAO 76% NI MALI YA MABEBERU ISIPOKUWA 24% ONLY NDIYO MALI YA WANIGERIA ,Tena kwa kenya hiyo percent unatoa GDP YA KUPIKA AMBAYO ZAIDI YA 30% YA GDP MNAYODANGANYA KUWA NAYO NI YAKUPIKA, LENGO NI KUIFANYA KENYA IKOPESHEKE NA KUWADANGANYA WAWEKEZAJI WAVUTIWE NA KENYA ,NA KUFANYA KENYA ISIONEKANE KUPITWA NA ETHIOPIA maana hivi majuzi wakenya waliumia sana kupitwa na ethiopia
 
Ebu bring that 80% facts here uwache rumour mongering juu ya wivu, why do tanzanians console themselves with lies and rumours wakishindwa? your list of wealthy people are mostly arabs and hindus
 
Yes numbers dont lie but how come a small economy can do great things that a big economy can not even think of attempting them. Something is wrong somewhere and it must be that numbers are actually lying. On the numbers on paper the reverse is also true.
Numbers don't lie hio statement ungeimalizia apo
 
Ok let me argue with you using that fuckin whites language, you say all the countries even Somalia and South Sudan are building the infrastructures similar to those which have been built in Tanzania, just mention to me even a single mega project like BRT system, cable stayed bridges, modern Airpots, modern bus terminals, electrifitried SGR, found in those countries including Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
What you are saying is just bunch of baloney.
$106b will always be better than $65b
 
Back
Top Bottom