Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



kuna kingine cha Elsewdy cha nyaya za umeme under construction. kipo Pwani. kuna kile kingine cha cement kule Tanga (wanasema hiki ni kikubwa zaidi ya Twiga cement)

soma hio🤣🤣🤣

Nicxie akilia akiomba thread ifunge kabla yakuwasili electric bullet train

34D58859-BE2A-41C9-A171-9E75A02105ED.jpeg
 
GDP ya 106b ina debt to GDP ratio 86% imagine [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nchi haina pesa hata kuwalipa police just imagine haina pesa hata kujenga 1km of railway mpaka loan
Lia bana[emoji23][emoji23]. $106b haibadiliki. Pesa ni makaratasi pia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nchi iko kweny high risk debt alaf unazungumzia GDP
SGR mchina
expressway mchina
avic hq mchina

kitu gani mchina amewaachia [emoji1787][emoji1787] labda pombe na bangi
Bado GDP ni $106 na haya yote
 
Back
Top Bottom