chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,309
- 45,109
Wewe ni taahira na unajua fika nimekubana mbupu ndio maana unamuita basha wako akuokoe
Wewe ni taahira na unajua fika nimekubana mbupu ndio maana unamuita basha wako akuokoe
LOL main CBD, 😂😂😂😂 how's an assistant CBD looks like? 😅😅😅😅they are still classier than your main CBD and they're not even skyscrapers.
Hujielewi. Rudi shule. 🚮 🚮Wewe ni taahira na unajua fika nimekubana mbupu ndio maana unamuita basha wako akuokoe
Cjui ni lini mtapata akili.they are still classier than your main CBD and they're not even skyscrapers.
Hawana akili.LOL main CBD,how's an assistant CBD looks like?
![]()
Acha ushamba we mbulula, hakuna mji wowote mkubwa duniani wenye more than 1 downtown, limbukeni weweHujielewi. Rudi shule. 🚮 🚮
I am not going to waste my time on an uneducated fool who can't comprehend simple English.Acha ushamba we mbulula, hakuna mji wowote mkubwa duniani wenye more than 1 downtown, limbukeni wewe
Yamebobea kwenye maslums yao tu, exposure zero, hawajawahi kufika hata hapo bondeni, huwa nawashangaaga sana wanavyozipanga hizo 'CBDs' zao 😅😅😅😅Hawana akili.
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔😥😥😥😥😥😥Hapa hata sijatumia elimu yangu. I’m well informed na ninatumia common sense.
😂😂😂😂😂 Mzee wa main CBD aka main downtown hahaha burdan kweli kujadiliana na villagersI am not going to waste my time on an uneducated fool who can't comprehend simple English.
😅😅😅😅😅Cjui ni lini mtapata akili.
Issue ya jiji la moshi inatakiwa eneo liongezeke kwa kumega eneo toka wilaya nyingine kama moshi vijijini ili eneo liwe kubwa ila vigezo vya watu na shughuli za kiuchumi imekidhi.Ili Moshi iwe jiji, inabidi ikidhi vigezo Vipi?
Uhuru ameimaliza Kenya yote kwa kuuibia mashamba sasa kawaibia kile kijiwe chao cha free Wi-Fi kwa Jina la muarabu 😂😂😂
Uhuru Park saivi ni Mali halali ya muarabu 😅😅😅
It's so official
Huu mradi ukikamilika hiyo Abuja Nigeria yenyewe itasubiri. au labda shida ya Tanzania hatuitangazi sana miradi yetu ndio mana hawa wapuuzi hawajui wao kazi yao kuponda tu 😂😂😂 Eti Kenya pia anaipigia mfano😂😂😂..
Bila filters pamechakaa kinoma.Hizi Asante Mchina kiukweli kabisa hizi nyingine ni trash, yn ugly huu ndio ukweli, dizain za kale sn kwa majengo ya hivi kukaa CBDView attachment 2025399
Umemkamata hadi anaita usaidizi!Wewe ni taahira na unajua fika nimekubana mbupu ndio maana unamuita basha wako akuokoe
Mzee hana chakupoteza, muda wowote anaweza kuondoka hivyo anataka kuacha legacy nzuri.kwa hiyo wewe kazi ni kucount omba omba pekee wanaotoka Tz nakuwapa permit?
Hivi huu mradi siyo ulipigwa chini kwasababu ya ufisadi?Shida sio hatupigi picha mkuu bali Dar ni jiji kubwa sana mpaka kusikia habari ya sehemu fulani kuna kitu kinaendelea it takes time maana miradi ni mingi ndio maana umeona huo mradi wa Dege haukupewa profile kubwa sababu mega projects ni nyingi sana.
Thank you bro for the latest newsLile daraja la pale bandari ndogo naona ujenzi unaendelea, linajengwa na kampuni ya Sumitomo kama ckosei ndiyo kampuni iliyojenga Mfugale flyover. Wakenya nawaonya, hapa patakuwa na view matata sn kuna BRT inapita hapo, msije kusema sijawaambiaView attachment 2025379View attachment 2025380View attachment 2025381View attachment 2025382View attachment 2025383