NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
Mwanangu slums Nairobi huwezi ukamaliza yaan mpaka huruma![]()
Huruma ni jina la Slum pia ?

Mwanangu slums Nairobi huwezi ukamaliza yaan mpaka huruma![]()

🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hawa huaga wanachekesha Sana 🤣🤣🤣🥰We si unalazimisha hizo ni middle class, owky leta sasa mitaa ya kimaskini DSM tuone .. mana wewe si ni mtanzania .. mapunguani mengine bhana
aliewadanganya nani mama ngina au🤣Hakuna maji hakuna stima. Mateso kweli kweli.
Nairobi slums zile hazitajwiHuruma ni jina la Slum pia ?![]()
sisi tunasubiri pain kwenye toll za mchina hapo ndipo kutamu zaidi kwa miaka30😂😂
This is Kiserian. A small satellite town within Nairobi Metropolis in Kajiado County. It looks better than Tanzania's wealthiest neighborhood of Masaki. Please watch it - NDINDA Geza Ulole The best 007 Shebby01 Naton Jr Justinr game over joto la jiwe
sasa unakataa au😂😂😂😂Hakuna kitu inaitwa Langata slum bongolala, wacha kusumbuka na Nairobi, utapasuka msamba. Kibera slum (which remains your only weapon here) is the only slum near Lang'ata. Kibera ilikuwa ndani ya Lang'ata Constituency kabla ya kugawanyishwa.
hebu ngoja tuzoom tujiridhisheLinganisha hizo picha za magereza na hizi dreamhouses zenu kisha utulize kende View attachment 2019716View attachment 2019717
The most developed city in East Africa
lusematic the lunatic who doesn't think scientific data is based on reality....lunatic indeedwe nawe kichwa nazi sijui umetokea wapi ,
kama unauelewa mdogo wa kwenye kuelewa content anayoandikz mtu,tafuta shughuli ya kufanya ,
bila shaka wewe ni jobless
Hii makumbusho ni slum na tena ina building kumi pekee... lakini kwa wingi wa majengo haifiki mombasa road hata roboView attachment 2019117iyo picha hapo juu imepigwa kutokea makumbusho kuelekea Moroko, by the way hayo majengo marefu hapo chini Sky tower, melenium towers, Victoria noble center, Victoria palace, treasure Victoria apartments tin tower na mengine mengi kama yanyoonekana kwenye picha hapo(yapo mtaa wa makumbusho), nyuma ya majengo ya kulia neerby Sky tower panafanana hiviView attachment 2019076
Nyuma ya majengo ya kushoto (melenium tower) huo mtaa unaitwa mikocheni panafanana hiviView attachment 2019078View attachment 2019080View attachment 2019081View attachment 2019083View attachment 2019084View attachment 2019086au umeona slum hapo ...? And my mind you haya ni makazi ya watu wa kawaida tu .. alafu eti ndio ulinganishe na huu uchafu
View attachment 2019087ni kichaa pekee ndio anaweza kuwaelewa .. tukisema hapo ni up coming CBD hatukosei.. ngoja nikuletee kwa ukaribu majengo ya biashara/HQs yanayopatikana hapo kwa hiyo road ambayo labda huwezi kuyaona vizuri kwenye hizi picha
View attachment 2019097View attachment 2019098View attachment 2019099View attachment 2019100View attachment 2019110View attachment 2019113View attachment 2019114alafu eti kweli mnakuja kutukosea adabu na huo mtaa ulio empty .?
Naongea na wewe Nicxie
sasa wewe ulijulia wapi hizi sehemu ambazo hata mimi mwenyewe sizifahamu vizuri heheNairobi slums zile hazitajwi
1.Ngei
2.Kisumu ndogo
3.kona mbaya/paradise/madrakos
4.ngomongo
5.kariadudu
6.kasabuni
7.darfur
8.glu collar
9.gonga njaa
Etc
Weka aerial nikuonyeshe kitu