Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just like I predicted
Wa Kwanzaa ndio huyu hapa ashatafuta picha ya Kibera kujiliwaza nayo. Wa pili na wa tatu wapo njiani
Picha ulizoweka c ndio hizi au sio? Ss zote hizo zipo kwenye picha moja tu hapo chini
JamiiForums1315438622.jpg
JamiiForums1387395040.jpg
JamiiForums1315438622.jpg
JamiiForums-730765132.jpg
 
Mkuu kauli ya kuzaliana aliisema katikati ya uongozi wake sio mwanzoni, lakini hata Kama alisema 2015, haina maana mwaka huohuo wanawake watapata unauzito na kujifungua mwaka huohuo.

Tatizo la uhaba wa madarasa ni tatizo sugu toka enzi za utawala wa awamu ya pili, watoto kusomea chini ya miti na kukaa chini lilikua kubwa Sana kipindi cha Kikwete.
sasa kama kuna tatizo mbona aihimize watu wazaliane au madarasa ya shule za awali (chekechea) hamyahesabu?
 
sasa kama kuna tatizo mbona aihimize watu wazaliane au madarasa ya shule za awali (chekechea) hamyahesabu?
Ss kama nchi ina nafasi ya kufanya hivyo kwnn tusizaliane, umaskini co sababu ya kutozaana, nchi ina mali nyingi lkn mwendo wake haulidhishi wacha wenye akili wazaliwe wa exploit resources.
 
Back
Top Bottom