Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
😂😂😂 Geza ametoa bokoMkuu kauli ya kuzaliana aliisema katikati ya uongozi wake sio mwanzoni, lakini hata Kama alisema 2015, haina maana mwaka huohuo wanawake watapata unauzito na kujifungua mwaka huohuo.
Tatizo la uhaba wa madarasa ni tatizo sugu toka enzi za utawala wa awamu ya pili, watoto kusomea chini ya miti na kukaa chini lilikua kubwa Sana kipindi cha Kikwete.