Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kati kati ya Tanzania

7064F587-158E-4089-BFEE-7F067E8F7AAD.jpeg
 
Ni aibu sana kwa nchi miaka 60 tangu muachiwe na mzungu bado mna matatizo ya umeme na maji hadi mjini kati, bora sisi vigumu sana usikie mambo kama hayo mjini kwenyewe, hutokea tu mara moja moja mitaani.
Sasa umeme na njaa afadhali nini. Maana food ni basic need
 
haha una tatizo sehemu we sio mzima na huyo alietengeneza huo uzi AKILI MMEKALIA. naweza kupa takwimu ukashangaa kwa siku miti inyokatwa njombe mafinga iringa mbeya ni nusu ya hiyo miti uliyotaja hapo na bado mvua zina nyesha na maji hujaa mpak mabwawa yanataka kupasuka leo hii kisa bwawa la nyerere linajengwa ndio litasababisha mvua kutonyeshaa.

Ni ukichaa uliopitiliza kwa kutegemea kuna unafuu wowote wa kukata miti milioni mbili, miafrika huwa tunatia aibu, mzigo sana bara hili, hamna hata wataalam wa kusauri, wote zero brain, maprofesa wenu ndio walikua wanatumia ndege za serikali kufuata mataputapu Madagascar eti ndio dawa ya corona.
 
Source yako Jamii Forums

Na nani alikuambia mvua zitakuwa hazinyeshi Tz

Wakenya hamna akili

Source BBC, fuata huo uzi uone Watanzania wachache wenye akili wanavyo omboleza huo ukaidi na ujuha wa mwenda zake, aliumbukiza nchi pabaya kiholela.
 
Wivuuu, by 2022 Tanzania itakua inazalisha 5000MW umeme wa maji, Bei ya unit Moja itakua ni ndogo mara mbili ya Kenya, lazima viwanda vyenu vitashindwa kupambana kibiashara
Kwamba wanajifanya hawajui umuhimu wa JNHPP, kwahiyo hata mtera tusingejenga kama tungeogopa miti, na wachina je wangeogopa miti leo hii wangeisumbua US kwenye uchumi? Akili za wakunya inabidi kuchunguzwa huenda neva zao za fahamu zimejaa usaha
 
Wanaiogopa Sana Tanzania kwasababu ndio mshindani wao mkubwa kibiashara, vipi wafurahie kujengwa kwa Bwawa la umeme Ethiopia ambalo ni kubwa karibia mara tatu ya lile la Tanzania, miti iliyokatwa Ethiopia ni mara tatu ya Ile ya Tanzania, wakati Ethiopia haina misitu mingi ukilinganisha na Tanzania. Hakuna la ziada zaidi ya wivu
 
Ss hivi wimbo umebadilika, kila baya linalotokea anasingiziwa marehemu kwamba alijenga ukuta kwamba ukuta ndiyo umeleta wezi yn ajenge ukuta alafu aamke aje kukamata wezi

Umeme kukatika analaumiwa kwamba alijenga bwawa, kwamba alikata miti mingi sasa mvua hazinyeshi na kwamba alikosea kujenga bwawa ilibidi kuwekeza kwenye gesi as if miaka yote tulikuwa tunategemea umeme wa gesi, au utadhani wangeweza kuhimili umeme wa gesi.


Machinga kushamiri analaumiwa analaumiwa kwamba aliruhusu Machinga kanakwamba tatizo limeanza baada ya yeye kuingia madarakani.

Afrika hatukupaswa kuwa na multi party system, bado njaa na uroho wa madaraka vinasumbua watu, yn watu wako radhi kuongopa mradi tu wapate mtaji wa kisiasa. Multi party system ilifaa ije kizazi cha 100 kutoka hiki chetu cha njaa.
Umesahau Lissu na Lema walikimbia nchi kwa kumsingizia marehemu sasa kafariki wala hawarudi
 
Back
Top Bottom