Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Jamani kwani mimi na wewe nani alileta mada ya ya kwamba unplanned settlements zile ni za middle class.? .. naweza kukuletea middle class settlements za DSM hata zaidi ya kumi.. nataka sasa kwanza wewe ulie claim kwamba unplanned settlements ndio watu wa middle class wa Dar huishi humo au ulete makazi ya watu maskini DSM au ukubali those areas are not for middle class na kwamba maskini wa DSM ni bora kuliko maskini wa NAIROBI, then nikuletee hizo middle class unazotaka kuona ili utoke JF..Wewe ndio uthibitishe sasa km hzo sio middle class, zilete baba acha kuruka ruka hapa..naona umekalia kuti kavu aisee
Ukiniletea middle class areas kumi tu natoka jf mimi
