Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uzuri ni kwamba wewe unataka nikubaliane na mawazo yako binafsi (personal opinion) wakati mimi nakupa data ya wataalam ambayo imefanyiwa utafiti na kuchambuliwa. Maisha ya ukunguni ni yale ya wananchi wenu milioni 28 who live in extreme poverty
Sasa inabidi na wewe utumie akili kdg wataalamu wanakwambia mko vzr kuliko Tz, hapo hapo mpk leo kuna Wakenya wanakufa kwa njaa wkt hakuna mTz anayekufa kwa njaa, je nani hapo ni maskini wa kutupwa?

Sio kila wanachosema wataalamu mnakichukua, vingine ni uongo tu kama mnavyoongopewa mna GDP kubwa wkt uhalisia hauko hivyo.

Hao hao wataalamu ndiyo waliosema Africa itashuhudia mizoga ya watu watakaokufa kwa corona ikizagaa barabarani, je uliona hyo mizoga?

Btw, c ni hao hao wataalamu wanasema binadamu wa kwanza alikuwa nyani na ni mtu mweusi, vipi unakubaliana nao? Wakenya tumieni akili mliyopewa na Mungu hata kdg mjikwamue na umaskini uliokithiri huko kwenu.

Wakenya hamna akili
 
Hao hao waliotuita nyani ndio pia walitangaza kwamba hampo tena kwenye kundi la LDC. Hamkupinga hiyo ripoti yao bali mlishangilia na kusema mumepiga hatua kama nchi. Hapa ndani, nyuzi zilifunguliwa si haba kutangazia dunia kwamba mabeberu wamesema Tanzania haipo tena kwenye ile kundi la aibu
ndiyo ujue sasa kuwa life haipo fair si kila kitu kinachotamkwa huwa kipo sawa ,vile vule nyani uliitwa wewe na ukaipokea kama jinsi unavyoipokea GDP,mimi sijawahi kuitwa nyani

unaambiwa fundi wa kweli kinyozi acheni kujikweza for nothing bado mnasafari ndefu wekeni kwanza mambo sawa kwenye reality yenu ndiyo mje hapa mki bang kwa nyimbo za sheng venye genge mnafanyanga,otherwise ni uturutumbi tu unapoteza mda
 
Sasa inabidi na wewe utumie akili kdg wataalamu wanakwambia mko vzr kuliko Tz, hapo hapo mpk leo kuna Wakenya wanakufa kwa njaa wkt hakuna mTz anayekufa kwa njaa, je nani hapo ni maskini wa kutupwa?

Sio kila wanachosema wataalamu mnakichukua, vingine ni uongo tu kama mnavyoongopewa mna GDP kubwa wkt uhalisia hauko hivyo.

Hao hao wataalamu ndiyo waliosema Africa itashuhudia mizoga ya watu watakaokufa kwa corona ikizagaa barabarani, je uliona hyo mizoga?

Btw, c ni hao hao wataalamu wanasema binadamu wa kwanza alikuwa nyani na ni mtu mweusi, vipi unakubaliana nao? Wakenya tumieni akili mliyopewa na Mungu hata kdg mjikwamue na umaskini uliokithiri huko kwenu.

Wakenya hamna akili
wakenya ni pimbi kabisa kama huyo zuzu mzee ojwani mpaka sasa hivi hata hajaelewa content yangu inamaanisha nini anaishia kupiga pang'ang'a tu na raha ya mjinga ni kumuangalia tu sababu kashajifanya mwelevu
 
Sasa inabidi na wewe utumie akili kdg wataalamu wanakwambia mko vzr kuliko Tz, hapo hapo mpk leo kuna Wakenya wanakufa kwa njaa wkt hakuna mTz anayekufa kwa njaa, je nani hapo ni maskini wa kutupwa?

Sio kila wanachosema wataalamu mnakichukua, vingine ni uongo tu kama mnavyoongopewa mna GDP kubwa wkt uhalisia hauko hivyo.

Hao hao wataalamu ndiyo waliosema Africa itashuhudia mizoga ya watu watakaokufa kwa corona ikizagaa barabarani, je uliona hyo mizoga?

Btw, c ni hao hao wataalamu wanasema binadamu wa kwanza alikuwa nyani na ni mtu mweusi, vipi unakubaliana nao? Wakenya tumieni akili mliyopewa na Mungu hata kdg mjikwamue na umaskini uliokithiri huko kwenu.

Wakenya hamna akili
Shida ni pale unataka nikubaliane na mawazo yako potovu wewe class seven dropout alafu nisiamini maneno ya watalaamu on matters economy.

Why do you think people go to school? And why do you think that even after going to school people choose different career paths? Why do we have economists, doctors, teachers, lawyers and all that? The answer is simple: we need specialists in all aspects of life, be it in business, or in employment. Ndio maana unaweza kuwa na biashara yako but at the end of the day, you will need an accountant to help you balance the books. Do you know why? Because you're are not an accountant, You are not a specialist in that field. Your specialty may be somewhere else but not accounting.

Sasa wewe hapo ambaye yawezekana si mtaalamu kwa mambo ya economics mbona unabisha ripoti iliyoundwa na economists wa WB? What do you know about world economy that they don't?

Story ya njaa I think tulimalizana nayo. Nilikuuliza kwamba wewe hapo ambaye hujafa njaa does it mean that wewe ni tajiri?

About your last paragraph, those are THEORIES bongolala. There's the creation theory and the evolution theory. It all depends on where you put your faith in. Ni kama mimi pia nikuulize Kama ni kweli uliumbwa!! Why answer can be no/yes depending on where you put your faith in. And what does this got to do with the topic of discussion btw?
 
ndiyo ujue sasa kuwa life haipo fair si kila kitu kinachotamkwa huwa kipo sawa ,vile vule nyani uliitwa wewe na ukaipokea kama jinsi unavyoipokea GDP,mimi sijawahi kuitwa nyani

unaambiwa fundi wa kweli kinyozi acheni kujikweza for nothing bado mnasafari ndefu wekeni kwanza mambo sawa kwenye reality yenu ndiyo mje hapa mki bang kwa nyimbo za sheng venye genge mnafanyanga,otherwise ni uturutumbi tu unapoteza mda
Are you trying to say that tamko la mabeberu kwamba hampo LDC si sawa?
 
ungekuwa na uelewa wa kuelewa Content inayoandikwa na mtu inalenga kitu gani usingepata tabu ,
ila kwa kuwa unajifanya mwelevu utaendelea kusumbuka na nitakuwa nakuita nyani ili uendane na mindset yako
 
Wewe pia utaendelea kuteseka ukikana data zinazoweka Kenya mbele ya Tanzania huku ukishangila zile zinazoweka Tanzania mbele ya Kenya
 
ungejua hata sijali uweke data sijui Tz au kenya ipo mbele ya mwenzake kwangu hapo hakuna hata cha maana ,mi si muumini wa madata yasiyo na kichwa wala miguu,
mi naangalia ground reality only,,

data hazinilishi haziniveshi wala kunijengea,napambana kwa reality yangu
 
this ignorant idiot just said he doesn't believe in scientific data. Eti anaanglalia reality kwa ground....as if data comes from some mythical place😂😂😂

Nicxie at this point if you should let him proudly fly his "I'm an idiot" flag high
 
Shida ni pale unataka nikubaliane na mawazo yako potovu wewe class seven dropout alafu nisiamini maneno ya watalaamu on matters economy.

Why do you think people go to school? And why do you think that even after going to school people choose different career paths? Why do we have economists, doctors, teachers, lawyers and all that? The answer is simple: we need specialists in all aspects of life, be it in business, or in employment. Ndio maana unaweza kuwa na biashara yako but at the end of the day, you will need an accountant to help you balance the books. Do you know why? Because you're are not an accountant, You are not a specialist in that field. Your specialty may be somewhere else but not accounting.

Sasa wewe hapo ambaye yawezekana si mtaalamu kwa mambo ya economics mbona unabisha ripoti iliyoundwa na economists wa WB? What do you know about world economy that they don't?

Story ya njaa I think tulimalizana nayo. Nilikuuliza kwamba wewe hapo ambaye hujafa njaa does it mean that wewe ni tajiri?

About your last paragraph, those are THEORIES bongolala. There's the creation theory and the evolution theory. It all depends on where you put your faith in. Ni kama mimi pia nikuulize Kama ni kweli uliumbwa!! Why answer can be no/yes depending on where you put your faith in. And what does this got to do with the topic of discussion btw?
Hehehehee ulivyoandika li insha li refuu mtu asyetaka kusoma anaweza akahisi labda umeandika point kumbe hujajibu hoja hata moja zaidi ya kuandika ma broken tu, huwa nasema humu Wakenya hamna akili watu wanadhani nawaonea
 
Amazing.

download (4).jpeg

download (5).jpeg

download (6).jpeg
 
Back
Top Bottom