Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,607
- 15,711
Kumbe kuna baadhi ya data na statistics ambazo mnakubaliana nazo! Ila zile ambazo zinapotray Tanzania negatively huwa hazina ukweli wowote 😂Top top
We are living in very interesting times!
Kumbe kuna baadhi ya data na statistics ambazo mnakubaliana nazo! Ila zile ambazo zinapotray Tanzania negatively huwa hazina ukweli wowote 😂Top top
Dar itakuaje na makazi ya watu maskini wakati hamna slums?Hizo kama unalazimisha ni middle class za Dar sawa, haya leta makazi ya watu maskini wa DSM, si mnajinasibu mnaijua DAR kisa eti mpo JF kitambo 😂😂, mnnichekesha sana.. hii ni duty nakupa wewe na huyu mbweha mwenzako Nicxie ..
Unanielewa lakini wewe.? Nyie kila siku mnalazimisha kwamba hayo makazi ambayo hajapangwa ni makazi ya middle class wa Dar, owky nataka sasa unionyeshe makazi ya watu maskini, we si unadai unaijua DSM wewe.?Dar itakuaje na makazi ya watu maskini wakati hamna slums?
We Kwani umesoma kweli wewe.? Mbona unaakili ambazo zipo limited sana.?Kumbe kuna baadhi ya data na statistics ambazo mnakubaliana nazo! Ila zile ambazo zinapotray Tanzania negatively huwa hazina ukweli wowote 😂
We are living in very interesting times!
Unadhani jaluo atakuelewa!Wekeni projects zenye kuwagusa raia wa kawaida nchi nzima, hasa projects za serikali zenye kuboresha huduma za jamii, punguzeni Sana Mambo ya Malls hayana msaada mkubwa kwa wakenya wa kawaida, hizi malls hazionyeshi jinsi serikali ya Kenya inavyowajibika kwa wananchi wake, hizi ni "private non essential public services"



Nishakuambia Dar haina watu maskini. Ama hunielewi. Dar kila mtu ni tajiri na anamiliki dream house yakeUnanielewa lakini wewe.? Nyie kila siku mnalazimisha kwamba hayo makazi ambayo hajapangwa ni makazi ya middle class wa Dar, owky nataka sasa unionyeshe makazi ya watu maskini, we si unadai unaijua DSM wewe.?
Wewe ambaye ni msomi mbona unapingana na data?We Kwani umesoma kweli wewe.? Mbona unaakili ambazo zipo limited sana.?
Leteni mitaa kumi ya middle class darHizo kama unalazimisha ni middle class za Dar sawa, haya leta makazi ya watu maskini wa DSM, si mnajinasibu mnaijua DAR kisa eti mpo JF kitambo, mnnichekesha sana.. hii ni duty nakupa wewe na huyu mbweha mwenzako Nicxie ..
Malls zinaonyesha jinsi gani uchumi upo imara na mzunguko wa hela vile vileWekeni projects zenye kuwagusa raia wa kawaida nchi nzima, hasa projects za serikali zenye kuboresha huduma za jamii, punguzeni Sana Mambo ya Malls hayana msaada mkubwa kwa wakenya wa kawaida, hizi malls hazionyeshi jinsi serikali ya Kenya inavyowajibika kwa wananchi wake, hizi ni "private non essential public services"
Unataka kubishana na mimi mkazi wa DSM we matako.? Unaijua ilala wewe.? Umeshawahi kuona picha za ilala humu ndani.? Umeshawahi kuona picha za Kinondoni humu ndani.? Magomeni je.? Manzese.? Sinza.? na mitaa kibao as you know Dar es Salaam is the largest City in EA .. sehemu zinapostiwa humu ndani ni sehemu common tu tatu, hiyo barabara ya Mwenge-Morocco, Kk na Posta, na ndio mana punguani kama wewe unajitia eti "naijua Dar" mavi.. mfano 👇 hii ni ilala zoom vizur ule mjiKijana wa Tandale, achana na vijisababu za kijinga. So unataka kuniambia kwamba hapo Dar hakuna mtu anapiga picha na kuweka mitandaoni? Kwan hizi mnazopst humu mnatoa wapi?
About uswazi za Dar, so it's true Dar kuna maskini wengi sana coz asilimia kubwa ya Dar ni uswazi. Ni sehemu ndogo sana iko planned with better housing
Kichwani kuna shule humo.? Au tunabishana na watu wavijiweni.?Malls zinaonyesha jinsi gani uchumi upo imara na mzunguko wa hela vile vile
We si unalazimisha hizo ni middle class, owky leta sasa mitaa ya kimaskini DSM tuone .. mana wewe si ni mtanzania .. mapunguani mengine bhanaLeteni mitaa kumi ya middle class dar
Vipi umekosa au.. we si unaijua DSM wewe.? Hizo unplanned settlements umedai ni makazi ya middle class, sawa nimekukubalia leta sasa makazi ya watu maskini DSMNishakuambia Dar haina watu maskini. Ama hunielewi. Dar kila mtu ni tajiri na anamiliki dream house yake
Hapa hukwepiWe si unalazimisha hizo ni middle class, owky leta sasa mitaa ya kimaskini DSM tuone .. mana wewe si ni mtanzania .. mapunguani mengine bhana
Kha.!! Sasa nani anamkwepa mwenzake Kati ya mimi na wewe.? Me nasubir uniletee makazi ya watu maskini DSM, mana ume claim kwamba unplanned settlements zile ni za middle class... Nasubir unionyeshe watu maskini DSM huwa wanaishi wapiHapa hukwepi
Hizi nyumba au Nzi








Wewe ndio uthibitishe sasa km hzo sio middle class, zilete baba acha kuruka ruka hapa..naona umekalia kuti kavu aiseeKha.!! Sasa nani anamkwepa mwenzake Kati ya mimi na wewe.? Me nasubir uniletee makazi ya watu maskini DSM, mana ume claim kwamba unplanned settlements zile ni za middle class... Nasubir unionyeshe watu maskini DSM huwa wanaishi wapi



Kwhyo unapinga, emu tuambie wewe malls zinapoenea sehemu flani, hyo huaga ni ishara ya nnKichwani kuna shule humo.? Au tunabishana na watu wavijiweni.?