Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

3008638_IMG-20211121-WA0077.jpg
Utoroshaji haijaanza Jana wala juzi na hadi kujenga ukuta na kuweka wajeshi ilikuwa ni kwa sababu hiyo hiyo, unfortunately hata baada ya hayo yote kufanyika utoroshaji umepungua ila haukuwahi kuisha.Kitafutwe Chanzo hasa ni nini?
 
sasa kama kuna tatizo mbona aihimize watu wazaliane au madarasa ya shule za awali (chekechea) hamyahesabu?
Hiyo uliyoleta ni "issue" tofauti na alichokisema Lema. The best 007 alikua anapingana na kauli ya Lema kumshutumu Magufuli kwamba kauli yake ndiyo iliyosababisha uhaba wa madarasana kutokana na watu kuitikia wito wa kuzaliana kwa wingi

Mimi sio muumini wa itikadi za kuzaa bila mipango, ninapingana na kauli ya Magufuli ya kuzaa idadi kubwa ya watoto bila kujali uwezo wa kuwahudumia, lakini kauli ya Lema kusema kwamba idadi kubwa ya watoto iliyosababisha upungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa ni kutokana na kauli ya Magufuli kuhimiza watu kuzaa sio kweli.
 
Wekeni projects zenye kuwagusa raia wa kawaida nchi nzima, hasa projects za serikali zenye kuboresha huduma za jamii, punguzeni Sana Mambo ya Malls hayana msaada mkubwa kwa wakenya wa kawaida, hizi malls hazionyeshi jinsi serikali ya Kenya inavyowajibika kwa wananchi wake, hizi ni "private non essential public services"
 
I thought this thread is about Nairobi vs Dar. Why do you feel offended? Fungua thread ya Kenya projects vs Tanzania projects tutachangia ndugu
 
Hzo ndio middle class areas dar mzee
Km unavisha tuletee middle class areas kumi kutoka dar
Hizo kama unalazimisha ni middle class za Dar sawa, haya leta makazi ya watu maskini wa DSM, si mnajinasibu mnaijua DAR kisa eti mpo JF kitambo 😂😂, mnnichekesha sana.. hii ni duty nakupa wewe na huyu mbweha mwenzako Nicxie ..
 
Back
Top Bottom