Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa imebakia tu three blue towers ifikie Dar
Kabisa naskia pia wao wanataka kuleta BRT...

 
Ndio hivyo tena, lakini kama ingalikua tunapiga picha mpya mara kwa mara ningekushangaza

Huwa Nacheka sana, naona mmeanza kuhalalisha sasa kwamba eti humu ndio wanaishi middle class wa Dar es Salaam , hayo maeneo ndio makazi ya maskin wa dar es salaam, ambapo sikuhiz yamepungua mnoo .. na ndio maana huwa nakwambia maskini wa NAIROBI akifika dar anakua fukara wa kutupa
Nairobi kuna chumba cha ksh 100 kwa mwezi sawa na shilingi 2000 za bongo
 
Infinite shit dump 😅😅

images (3).jpeg
 
Hakuna slums Tz, hicho unachoonesha ni unplanned settlement, kama unataka Slums ziwepo Tz nenda uka update google Mana ww c bingwa wa ku update google
Hata mimi najua hamna slums. mko na dreamhouses kama hiyo picha uliyoiquote
 
Back
Top Bottom