Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,740
Hii ni Keko!
Hii ni Keko!
Kijana wa Tandale, achana na vijisababu za kijinga. So unataka kuniambia kwamba hapo Dar hakuna mtu anapiga picha na kuweka mitandaoni? Kwan hizi mnazopst humu mnatoa wapi?Ndio hivyo tena, lakini kama ingalikua tunapiga picha mpya mara kwa mara ningekushangaza
😂😂😂☝️Huwa Nacheka sana, naona mmeanza kuhalalisha sasa kwamba eti humu ndio wanaishi middle class wa Dar es Salaam 😂😂, hayo maeneo ndio makazi ya maskin wa dar es salaam, ambapo sikuhiz yamepungua mnoo .. na ndio maana huwa nakwambia maskini wa NAIROBI akifika dar anakua fukara wa kutupa
Hiyo Keko bado tu ni dreamhouses just like many parts of DarHii ni Keko!
Hzo ndio middle class areas dar mzeeNdio hivyo tena, lakini kama ingalikua tunapiga picha mpya mara kwa mara ningekushangaza
Huwa Nacheka sana, naona mmeanza kuhalalisha sasa kwamba eti humu ndio wanaishi middle class wa Dar es Salaam
, hayo maeneo ndio makazi ya maskin wa dar es salaam, ambapo sikuhiz yamepungua mnoo .. na ndio maana huwa nakwambia maskini wa NAIROBI akifika dar anakua fukara wa kutupa


Onesha sehemu Magu akitoa kauli hyo 2015, alafu ona ulivyo zuzu toka 2015 mpk 2016 ni miaka 6
Wakenya hamna akili



....dah! The best 007 umenifanya nimecheka sanaaa,Hako kaeneo ka hizo concentration camp kale palee 😅😅😅 majority ni 3.9 residents area, nafikiri unawajuaNairobi residential areas. Yani midanganyika wakiona picha Kama hizi wanakimbilia picha za Kibera kujifariji nazo 😂
View attachment 2019590View attachment 2019591View attachment 2019597View attachment 2019598View attachment 2019599View attachment 2019600View attachment 2019602View attachment 2019604View attachment 2019605View attachment 2019606View attachment 2019607View attachment 2019608
Watakwambia kwao kila mtu ana kiwanja huku wakisherehekea magomeni "kotas"Nairobi residential areas. Yani midanganyika wakiona picha Kama hizi wanakimbilia picha za Kibera kujifariji nazo![]()
View attachment 2019590View attachment 2019591View attachment 2019597View attachment 2019598View attachment 2019599View attachment 2019600View attachment 2019602View attachment 2019604View attachment 2019605View attachment 2019606View attachment 2019607View attachment 2019608
Dah huyu jamaa tumsamehe tu.....anaitaji maombi maana hali hiii inatishaaawacha ushabiki nawe toka 2015 mpaka 2016 ni miaka 6 mtoto anaanza la kwanza!
By the way atutajie mitaa kumi middle class Dar kwa majina tucheke kidogoHzo ndio middle class areas dar mzee
Km unavisha tuletee middle class areas kumi kutoka dar
Naona hii umemrarua geza, na kuwakejeli wakenya kabisa.. Geza nae bhana anatuzingua sana, maneno ya uongo uongo yeye Anayapa support


....asamehewe bure tu wakuuMombasa na maendeleo..Buxton housing project..Over 1500 units under construction
Kwamba hapa unaiona Tz hapaMy point was ulinganishe Baba Dogo 'slum' na hizo uswazi zenu uone ni wapi afadhali





Just like I predicted 😂 😂 😂 😂Hako kaeneo ka hizo concentration camp kale palee 😅😅😅 majority ni 3.9 residents area, nafikiri unawajua View attachment 2019618