The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Mm hapa bado sijaelewa, kwamba wamebadili Airbus kwa Max au hizo Max ndiyo ingizo jipya la mama mana hizo za kwanza zote ni za awamu ya tano.Naona wamebadili order, wameondoa Airbus A220-300 wameweka Boing Max 737

