Hivi huyu mjambiani ameproject kitu gani toka aingie ikulu maana mang'amuzi ya jpm yanakwisha soon sijui tutapambana vipi na hawa nyangau za kenya maana kasi ya magufuli iliwa activate wakenya pia nao wana tengengeza miji yao kwa bidii kama kuweka na kujenga njia za wapita kwa miguu nairobi kwa kuzipendezesha .....sisi tumeondoa wamachinga lakini hakuna maboresho yoyote ya kupendezesha miji au mitaa !!! Kkoo kunamajengo hayajawai kufanyiwa ukarabati wala kupakwa rangi toka uhuru ,sijui kwanini serikali inaangaika na kutoza tozo masikini wakati hao wenye majengo machafu wangekuwa wanapigwa faini serikali ingepata mamilioni ya dola