Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

DAMASCO wamekatikiwa maji . Dar-is-a-slum
Screenshot_20211118-213616.jpg
 
Hehehehee ndio naona hapa Tanesco kupitia ofisa wao eti wanasema kabisa "Watanzania tujiandae kwa mgao wa umeme" ss swali langu ni kwamba, je huu mgao ulisubiri Magufuli afe ndio maji yakauke? Ukweli ni kwamba kuna mchezo mchafu huwa unachezwa na Tanesco ambao Magu aliutaja hadharani kwamba some corrupt Tanesco officers wanalipwa pesa wanayafungulia maji ktk bwawa wanayaruhusu kumwagika usiku zen bwawa linapungukiwa maji zen power rationing, baada ya hapo watu wanafanya biashara ya mafuta na majenereta.

Ndio maana mm niliumia sana yule mzee alipofariki, wanasema alituacha salama lkn ukweli ni kwamba hakutuacha salama, alituacha kati kati ya hatari, watu wamerudisha michezo ile ile, nachelea kutafakari kama JNHPP itatusaidia, mafisadi hawapendi kabisa huu mradi mana utawakosesha pesa za bure.

Mama haambiwi ukweli, au anaambiwa ukweli lkn huenda naye ni mmoja wao au huenda hajui ku integrate, tutamkumbuka sana jemedari.
MAZUZU WATAPINGA ...NILIWAAMBIA CCM BILA YA MAGUFULI NI MAVII YA KUKU
 
Kaka Tumepotezana mtu mwenye maono. Yaani alikuwa na uwezo wa kuliangalia jambo tofauti wengine.
Moja ya sifa ya mtu asiyekuwa na maono ni kushindwa hata kusoma alama za nyakati ulizonazo ili u solve tatizo la mbeleni.

Mfano mvua hazinyeshi,
Kwa akili za kawaida tu inatosha kukutaarifu kuwa kuna njaa mbeleni badala ya kudhibiti vyakula visiuzwe hovyo nje hakuna anayejali, hakuna wa kuhamasisha kulima mazao yanayohimili ukame.

Mabwawa ya umeme huwa hayaishiwi maji ghafla kuna vipimo huwa vinaonyesha level za maji mnajiandaa,
Magufuli alisimamia maono yake, yeyote aliyetaka kumkwamisha kwa ushauri au vinginevyo alimweka pembeni.
Hali ikiendelea hivi 2025 ccm itakuwa na wakati mgumu kwenye uchaguzi ambao haujawahi tokea labda asimamishwe mtu mwingine.

Wakati mwingine nahisi kuna kitu Mungu anataka tujifunze.
Eti TANESCO wanatoa sababu rahisi kabisa mama anakubali duuuhhh, yn anashindwa hata kufikiria mbn Tanesco mwaka jana hawakutoa sababu za kipuuzi km hizi, kweli kuna sababu ya elimu ya zenji kuangaliwa kwa umakini mkubwa.
 
Eti TANESCO wanatoa sababu rahisi kabisa mama anakubali duuuhhh, yn anashindwa hata kufikiria mbn Tanesco mwaka jana hawakutoa sababu za kipuuzi km hizi, kweli kuna sababu ya elimu ya zenji kuangaliwa kwa umakini mkubwa.
Mazuzu ........sijui sasa umeme wa kuendesha SGR YETU YA UMEME TUTAUPATA WAPI MAANA HADI SASA PROJECT ZOTE ZA MAGUFULI ZIMESIMAMA KWA 70%
 
Uchafu upo hadi kwenye mchanga wa bahari
AU watafanya pavement hadi majini?
Mkuu tusubiri tuone cos mkuu@The best 007 ....katoa ufafanuzi kidogo......ila enzi za JPM tulikuwa moto kweli, mimi mkaskazini alikuwa anambi chochote, nilijiona na niliamini tupo kwenye right way.....hofu yangu kwa sasa ni hawa wajamaa wataanza kuchezeachezea sharubu....hopeful mambo yatakuwa good
 
Serikali ya TUTA, nasubiri tuta tuta zao zigeuke reality, JPM alikuwa akiongea leo ujue wiki ijayo mambo yanaanza, kuna Watz hawapendi kuona tukimtaja taja JPM ati wanasema ameshakufa, lkn mm kama muajiri namkumbuka mfanyakazi wangu aliyepita kwamba alikuwa anafanya kazi vzr kuliko huyu wa ss, co zambi.
Hao mawaziri wanaochukia jpm kutajwa thamani yao ni duni nguruwe
 
Back
Top Bottom