Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Let's assume hiyo taarifa ya blog yako ni ukweli, na tufanye mahesabu za haraka:

40% of 50m Kenyans ni watu milioni ishirini.

Sasa kati ya 20 million people na 28 million people ni gani nyingi?
Wengi ni wale wanaokufa njaa.
 
Let's assume hiyo taarifa ya blog yako ni ukweli, na tufanye mahesabu za haraka:

40% of 50m Kenyans ni watu milioni ishirini.

Sasa kati ya 20 million people na 28 million people ni gani nyingi?
kuna tofaut kati ya poverty na extreme poverty 😂😂😂 yani ww uwe mlinzi mara uwe mwalimu mara uwe professor mara uwe civil engineer wapi na wapi
 
Let's assume hiyo taarifa ya blog yako ni ukweli, na tufanye mahesabu za haraka:

40% of 50m Kenyans ni watu milioni ishirini.

Sasa kati ya 20 million people na 28 million people ni gani nyingi?
Alafu Wakenya mmeona mwenzenu anasema mpo milioni 50? Ss kuanzia leo nisisikie mkunya anasema mpo milioni 42 japo ukweli halisi ni kwamba mpo over 55mil population.
 
keyword: extreme poverty

😅😅😅😅😅😅

Hilo neno extreme poverty huioni hapa?
Au ndio kujifanya kipofu?
PhotoGrid_1605162481588.jpg

Mtasumbuka sana na mtoe machozi ila number mtazidi kusoma
 
Alafu Wakenya mmeona mwenzenu anasema mpo milioni 50? Ss kuanzia leo nisisikie mkunya anasema mpo milioni 42 japo ukweli halisi ni kwamba mpo over 55mil population.
Hapana hatupo 55m, tupo 100m. Happy now bongolala?
 
Let's assume hiyo taarifa ya blog yako ni ukweli, na tufanye mahesabu za haraka:

40% of 50m Kenyans ni watu milioni ishirini.

Sasa kati ya 20 million people na 28 million people ni gani nyingi?
ingia humu 2018 tulikua na below poverty line 26% wakat nyinyi 2021muko na 40% population below poverty line

😂😂😂😂😂😂
 
Max Hizo zinauwezo zaidi Ya A220 300

Max 9 ndo zilizoagizwa zina range ya 6500km against airbus A220 yenye 6100km..

Zinaweza safirisha watu 190 to 200 per trip compared to 132 ya A220 300

Ila mimi naona wangestick na Airbus kwenye Regional Markets na Boeing 787 kwenye continetal markets..na q400/a220 kwenye domestic market..kwanini nasema hili

Max 9 ni 134mil usd ..na ina range ya 6500km..na watu 200+..ila..Airbus A321LR ina range ya 7400km, watu 200+, ila inabeba mzgo kubwa zaidi .ingawa iko ghali kidogo at 148mil..lakini ..anyways washachagua Max

Max 9 zitatumika sana African Cities, European cities na Middle east..ambapo Boeing 787 haitakuwa profitable during (Low Season) cause of 262 seats za 787 ..mfano
1.Joburg
2.Lagos
3.Dubai
4.Mumbai
5.Istanbul
6.Milan
7.Tel Aviv

Pia inaweza fika US Cities like Newyork, Washington via Dakar, au Lome..

Ila watakuwa forced kutumia 787 kwenye route za london , Amsterdam(7300km , Frankfurt etc cause ya range fupi ya Max 9(6500km)..
wakati wangeorder A321 LR (7400km) au A321xlr(8700km)wangeitumua hadi Low season time muda ambao 787 haiwezi kujaa
Kama mnataka muelewe kwanini natetea A321XLR na A321LR ..@Chamoto
Screenshot_20211113-161106_Chrome.jpg
Screenshot_20211114-073534_Chrome.jpg
 
Hapana hatupo 55m, tupo 100m. Happy now bongolala?
😀😀😀😀😀😀😀
ingia humu 2018 tulikua na below poverty line 26% wakat nyinyi 2020 muko na 40% population below poverty line

😂😂😂😂😂😂
 
ingia humu 2018 tulikua na below poverty line 26% wakat nyinyi 2020 muko na 40% population below poverty line

😂😂😂😂😂😂
Unajicomfort na taarifa ya 2018 wakati mimi nakupa taarifa ya 2020. Una akili kweli?
 
Unajicomfort na taarifa ya 2018 wakati mimi nakupa taarifa ya 2020. Una akili kweli?
kwani hii ni ya lini 😂😂😂😂

yani muna hali mbaya kuliko hata zimbabwe kwenye umaskini uliopitiza 😂😂😂😂

Hiyo hali yetu 'mbaya' in watu milioni 20 tu! Je, wenye wako na watu milioni 28 in extreme poverty tutasemaje kuwahusu?
 
Unajicomfort na taarifa ya 2018 wakati mimi nakupa taarifa ya 2020. Una akili kweli?
40% of kenya population ?? inakuja ngap🤣
 
kwani hii ni ya lini 😂😂😂😂

Ni ya 2021. But because you are stupid, you can't realize that hiyo 40% only represents 20 million Kenyans wakati nyinyi mko na watu 28m in extreme poverty. Tangu lini 20 ikawa nyingi kuliko 28?
 
Back
Top Bottom