komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Dsm ndio inapata madaraja karne hii sio, yani kiufupi ndio mumeamka toka usingiziniDaraja linakuumiza kichwa hilo, huamini macho yako [emoji23][emoji23][emoji23].. owky endelea kuumia kidogo [emoji116]View attachment 2015207daraja lingine[emoji116]View attachment 2015209and guess what, haya Madaraja hapa DSM yatajengwa matatu, mawili kama unavyoyaona, bado moja, utaumia sana mdogo angu, mambow ndio kwanza yameanza ..