Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is ludicrous. So what you’re saying is all cities should look like western cities? Even western cities look drastically different from one another. London doesn’t look like Los Angles, Paris doesn’t look like Berlin, and Madrid doesn’t look like New York City. Miji ina muonekano tofauti kutokana na factors mbalimbali. Hii akili ya Kudhani kuwa kila kitu cha kizungu ndio bora kuliko vitu vyote ni ya kijinga.
Mkuu karibu tena home.
 
Mpaka sasa tunapoongea meli kubwa lake Victoria ni New Mv Victoria, record itavunjwa na Mv Mwanza soon.
Wakati ukililia, seco engineering Is dominating the east coast. Below boats are for Tanzania 👇👇💩💩
images (2).jpeg
images (5).jpeg
images (3).jpeg
images.jpeg
 
middle class ya ndotoni labda kuhusu michezo hakuna mnachotuzidi landa mbio na kwenye diplomatic ndiyo kabisa usiguse ,hakuna mnachotuweza
Ukweli kama hizi ndio hampendi mkiambiwa
images(24).jpg




This is what part of that AfDB report says:
Screenshot_20211117-224025~2.png

Number mtazidi kusoma sana
 
Kwahiyo na corona ilivyowapiga unategemea cargo volume kuongezeka? Wakenya hamna akili.
Kwa hivyo Corona was just limited to Kenya alone? Mibongo zinavyoreason inatia huruma. Nway, first quarter ya mwaka huu ilishashuhudia ongezeko la 10% already compared to the same period last year (which also recorded an increase as well from the previous year)


Mtalia sana ila number mtazidi kusoma
 
hatupo kwenye paper sisi tupo in reality ,,hiyo kazi ya kupachika utopolo na kujiongezea mambo tumewaachia nyie wadogo zetu ili mfiche uchokoraa wenu
Hiyo reality baki nayo akilini mwako where it exists
 
Kwani ndege mpya zilitakiwa jumla ziwe ngapi kama tutafuata ilani.
Tano, Boeing mbili (dreamliner na cargo) Airbus mbili na dash 8 moja.

Tatizo langu ni hizo Max zilizouwa watu mara mbili. Kumbuka hizi Max waliziharakisha ili washindane na airbus neo. Sasa baada ya kuzifanyia marekebisho ni bora tusubiri tuone kama kweli ziko vizuri.
 
Tano, Boeing mbili (dreamliner na cargo) Airbus mbili na dash 8 moja.

Tatizo langu ni hizo Max zilizouwa watu mara mbili. Kumbuka hizi Max waliziharakisha ili washindane na airbus neo. Sasa baada ya kuzifanyia marekebisho ni bora tusubiri tuone kama kweli ziko vizuri.
Naona wamebadili order, wameondoa Airbus A220-300 wameweka Boing Max 737
 
Back
Top Bottom