Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi CBD ni mingi tu na zina concentration sio kando ya barabara
FB_IMG_16355105873751475.jpg
 

Attachments

  • tapatalk_1635452402558.jpg
    tapatalk_1635452402558.jpg
    124.5 KB · Views: 6
Unalinganisha commercial towers zenu na majengo yetu ya ghetto?🤣🤣

Boss, here is the equivalent of those Nairobi buildings you posted in Dar.

View attachment 1994032

Na ukitaka equivalent ya hiyo PPF Tower Nairobi ndio hii.

View attachment 1994033
Design za kishamba. hivi ndio unajiita msomi. Nenda shule mwanangu. Upeo wako ni finyu. Sidhani kama umewahi kwenda nje ya Kenya. Comments zako zinaonesha jinsi ulivyo mbumbumbu.
 
Yani hii ndio middle-class ya dar-is-a-slum! Jameni danganyika residential ya tajiri nikama kibera
JamiiForums-1688630160.jpg
 


Hakuna institute iitwayo pension wee kilaza. Elimu yenu kweli ni ovyo. Kila parastatal ya government ama agency ya government iko na department yake ya pension. CBK pension tower ni headquarters za CBK pensioners + other CBK headquarters ndio maana nikakueleza Hilo jengo ni part of CBK Complex kwa hivo usijifchoche na BoT towers Sana maanake kwenu kila kitu kipo hapo, kwetu kumegawanyika.
Fala wewe hujanielewa, na usithubutu kukimbia swali langu kwa upumbavu wako, hamtaki jengo la cbk kwa sababu ni baya na mnajua limechapwa na lile la BOT, tumewawekea jengo la cbk linalotambulika mnalazimisha Pension tower na times tower ndo yawe majengo ya cbk, mbn Google haitambui sasa,
Screenshot_20211101-044600.jpg
 
Haya ndio maneno sio matokeo ya elimu .. ona matokeo ya elimu yenu View attachment 1994013View attachment 1994014View attachment 1994015View attachment 1994016elimu yenu inazalisha vilaza, maneno mingi Ila matokeo yake ni zero.. haya hii hapa ni matokeo ya elimu ya Tanzania View attachment 1994025 PPF TOWER : ::: Estim Construction :::. View attachment 1994028hizi hapo juu ni facilities zilizotengezwa na Tanzanians wenyewe, kampuni za kitanzania, mafundi wa kitanzania, na hii ndio tunaita elimu, sio elimu yenu nyinyi ya kujisifu kujua kiingereza.. kujua kiingereza ni sawa na mtu kujua kisambaa yaani (vernacular languages).. and mind you hii ni miradi michache tu nimepost ulitaka ntakukomesha
Matokeo ya elimu ya Tanzania, wao kila kitu kinajengwa na wachina ila cc vipo vitu high quality vimejengwa na kampuni za kizalendo
image_downloader_1629260188521.jpg
JamiiForums225180148.jpg
JamiiForums1954788200.jpg
JamiiForums-871096960.jpg
 
Bongolala, wewe unaishi Tandale mimi naishi Nairobi. Sasa iweje leo unajua maswala ya Kenya kunishinda mimi mwenyeji? Kama Times Tower si mali ya CBK, iweje inaitwa New Central Bank Tower?

CBK is the banker for, and advisor to the government of Kenya. All monies collected by the KRA through taxes, both at the national and county government levels, are banked at the Central Bank of Kenya. Bado unataka kujua mengi?
Nani aliyekuambia utoe definition ya central bank? Tunaongelea kingine unajibu kingine, Wakenya hamna akili ya ku reason mambo kwa weledi.
 
Mzee upo na kihere here. Wewe ndio unajiita umesoma unaleta arguments za kitoto. Utata uletewe na makalio ya Wema Sepetu.

Hebu nieleze nuelewe hapa. Vipi ka deni kenu mnaanza lini kulipa!?
View attachment 1994074
Na hapa usisahau kuwakumbusha kwamba hiyo length ya 422km co line nzima ya SGR yetu bali umefananisha cost per length ili waone walivyo hawana akili, but length ya SGR yetu ya umeme upon completion itakuwa na zaidi ya 1000km.
 
Julize ni kwa nini ngome ya Mwenemutapa inafanana na Kilwa, huko kulikuwa na waarabu ?

Kwa nini kuna propaganda duniani inayoenezwa kuwa waliojenga Mapiramid ya Misri ni hawa waarabu wa sasa wakati inajulikana walienda pale karne ya 7AD? Wakati mapiramid yalikuwepo zaidi ya miaka 3000BC

Kwa nini sanamu za Misri zimekatwa pua? Uniambie ni erosion, yaani itokee puani pekee?

Kwa nini utawala wa Zanzibar unasifika sana kuliko Kilwa? Wakati utawala wa Kilwa ilikuwepo miaka 700 kabla ya Seyyid Said kuhamia pale ZNZ?

Ukipata haya majibu utajuwa hujui.
Unajipeleka kwa story Mingi boss. First, there's NO similarity between Great Zimbabwe and Kilwa. Kilwa resembles Gedi in Kenya. Secondly, great Zimbabwe had no known external influence while Kilwa is a Muslim civilization with its most important building being the Great Mosque- should I tell you where Islam came from? Thirdly, your state House is of Arab architecture - how anyone would deny that baffles me. Just stop.
 
Back
Top Bottom