NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,633
Shelve ipi imejaa maziwa ya kenya ? Unajua Nyie huwa ni wajinga sana ?
Ntapita Supermarket kadhaa nipige picha shelf za Maziwa ataje maziwa yao[emoji1787]
Jana nilikua naangalia shelf za vinywaji Baridi, ujue Cocacola na Pepsi wanapewa za Mbavu balaa.
Kuna Azam Cola
Mo cola
Super cola ( Milkcom)
Afiya
Twist etc.
Hizo kampuni kadhaa kila moja ikiweka flavor tatu hilo linshelfu lote linajaa.
Azam ndio kila kitu hadi landha ya ukwaju [emoji1787]