Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata tukiachana na books, KU library has a capacity of 300 computers while hiyo China AID yao can only accommodate 160 computers.
EimFIJoXkAEZ_jr.jpg
udsm_library_1635632395346368.jpg
udsm_library_163563239534620.jpg
udsm_library_1635632395346169.jpg
udsm_library_1635632395347999.jpg
udsm_library_1635632395347743.jpg
udsm_library_1635632838118862.jpg
udsm_library_163563283812780.jpg

maxresdefault(2).jpg

The one and only, the most modern and biggest library in EAST AFRICA.. sio tu library Bali ni balaa kuna shughuli tofauti tofauti zinaendelea humo ndani .. kwanza kitu ni world class .. uje ufananishe na huu uchafu 👇third world countries standards 😂😂
KU-library-min-600x400.jpg

maxresdefault(2).jpg
 
We ni chizi sijawai kuona..kwani mm nimesemaje si nimesema tumepewa loan moja tu ya Standard Chartered..1.46bil usd..Mimi ambacho tunazozana ni kwamba phase 1 mnasema tumepewa 1.2bi kutoka Turkey ..ndo nataka unipe source ambayo sio gazeti lenu la the East African ..maana tunajua its a corrupt paper
Ulisema phase one munajenga na pesa yenu, ety phase two ndio mkopo. Rudi usome reply zako.
 
Ona venye wadanganyika mna IQ ndogo. University hazipimwi kwa ukubwa wa ardhi mbali ni maendeleo na vipimo vya kisayansi. Mbona Kenya imeshinda danganyika kwa kila kitu na Danganyika ndio kubwa ki ardhi? Mbona Monaco ni ndogo kuliko Dar-is-a-slum, ila inaongoza kwa utajiri na university nzuri?

Hivi hiyo CONDOM university n number ngapi kwa world ranking ya vyuo vikuu sababu najua haijaishinda Nairobi University.
Tena tukicombine university of Nairobi ambayo kila department ina chuo yani campus yake tofauti tofauti hiyo CONDOM haifiki mahali.

Kwani tulikuwa tunazungumzia ukubwa wa Library au Ubora wa University? Sasa ebu wewe mtoto wa nje wa Einstein uliyerithi akili zake tuambie, bado KU Library ni kubwa kuliko the entire UDOM?
 
Ujui ethiopia wewe hiyo ni nchi kama kenya kikabila na kooo ...mfano kdf wakikuyu wakijitenga na kdf wajaruo ujue hayo ni majeshi kamili ....kinachotokea ethiopia ni kama kilichotokea china na taiwan
Wewe umewahi kufika Ethiopia ama unaongea tu unayoyaona kwenye TV? Jeshi kamili la Ethiopia ni ENDF hayo mengine ni majeshi ya majimbo.
 
Like I said, vitu vidogo vinawaexcite. Mbona sisi hizi tumezoea? Yani mkiskia mzungu ndio mnaishiwa nguvu kabisa.
View attachment 1993038
Mwaka gani hiyo au ni wakati tz ilikuwa aijulikani maana naona awakuvaa barakoa wakati kwa kenya barakoa ni lazima ....sisi tumeleta picha ya jana tu ..pia cheki picha ya uwanja wetu wazungu wanaonekana kama wapo ulaya huko
 
Nimeeleza pale haya mambo ni ya kawaida kwetu. Yalianza zamani na bado yapo. We no longer get excited over white people attending a football match here.
 
Tanzanians are very good at verbal war. They can kill you with their verbal diarrhoea hadi wakuzike. If you invite them to a sober discussion, they will employ every dirty trick kuvuruga thread just so that they have their way. Ichoboy's claims about GTC residential towers is a very good example and there are many other such examples.

Hii battle haina maana yoyote coz tunawapiga kila mahali. Walijaribu ya mahoteli tukawalemea. Suburbs wakajaribu wakapata ni moto kama pasi. Hii ya tall buildings ndio hii tumewafunika leo hata hawana hamu ya kulitaja. Yani kila mahali wakijaribu mwendo ni ule ule.

They should know that Nairobi is referred to as the most important city in this region not by chance. Wanafaa kujua kwamba we are here just to entertain them as our brothers, si eti tuko hapa on a serious mission in comparing Nairobi with some glorified

Yani westlands inazidi dar-is-a-slum cbd+posta+kariakoo yote. GTC concentration inapiga zile 3 blue towers ten nil. Yani kumi bila. View attachment 1991274
Kwa pumba nawe umo
 
View attachment 1993362View attachment 1993366View attachment 1993369View attachment 1993374View attachment 1993378View attachment 1993379View attachment 1993382View attachment 1993384
View attachment 1993404
The one and only, the most modern and biggest library in EAST AFRICA.. sio tu library Bali ni balaa kuna shughuli tofauti tofauti zinaendelea humo ndani .. kwanza kitu ni world class .. uje ufananishe na huu uchafu 👇third world countries standards 😂😂View attachment 1993459

View attachment 1993391
Hii Imetulia sana
 
Kenya Wildlife Service Headquarters.
Bongo huwezi pata offisi kama hii, Tanzania Wildlife Authority wanafanya kazi kwa wizara ya utalii na misitu. 😂😂😂 Alafu munalia Kenya inapata watalii wengi kwanini, kumbe hata kupata offisi ni shida.

images (22).jpeg
 
View attachment 1993362View attachment 1993366View attachment 1993369View attachment 1993374View attachment 1993378View attachment 1993379View attachment 1993382View attachment 1993384
View attachment 1993404
The one and only, the most modern and biggest library in EAST AFRICA.. sio tu library Bali ni balaa kuna shughuli tofauti tofauti zinaendelea humo ndani .. kwanza kitu ni world class .. uje ufananishe na huu uchafu third world countries standards View attachment 1993459

View attachment 1993391
Kwaniaba ya Wakenya naomba niwaombee msamaha
 
View attachment 1993362View attachment 1993366View attachment 1993369View attachment 1993374View attachment 1993378View attachment 1993379View attachment 1993382View attachment 1993384
View attachment 1993404
The one and only, the most modern and biggest library in EAST AFRICA.. sio tu library Bali ni balaa kuna shughuli tofauti tofauti zinaendelea humo ndani .. kwanza kitu ni world class .. uje ufananishe na huu uchafu 👇third world countries standards 😂😂View attachment 1993459

View attachment 1993391
Smaller than KU which is much beautiful than that China AID.

PML-Back-View1.png
 
Kenya Wildlife Service Headquarters.
Bongo huwezi pata offisi kama hii, Tanzania Wildlife Authority wanafanya kazi kwa wizara ya utalii na misitu. Alafu munalia Kenya inapata watalii wengi kwanini, kumbe hata kupata offisi ni shida.

View attachment 1993472
Weka hapa idadi ya watalii waliokuja kwenu mwaka huu na mm niweke ya huku kwetu, excuses sitaki
 
Weka hapa idadi ya watalii waliokuja kwenu mwaka huu na mm niweke ya huku kwetu, excuses sitaki
Weka tuone, half year results. Na ujue tulikua na partial lockdown. By the end of 2021 tutawashinda kama kawaida in both numbers and earnings.
 
View attachment 1993362View attachment 1993366View attachment 1993369View attachment 1993374View attachment 1993378View attachment 1993379View attachment 1993382View attachment 1993384
View attachment 1993404
The one and only, the most modern and biggest library in EAST AFRICA.. sio tu library Bali ni balaa kuna shughuli tofauti tofauti zinaendelea humo ndani .. kwanza kitu ni world class .. uje ufananishe na huu uchafu 👇third world countries standards 😂😂View attachment 1993459

View attachment 1993391
Nyuma ya LIBRARY kuna CHUO CHA KICHINA CHA CONFUCIUS kinajitegemea na majengo yake Yenyewe. angalia majengo ya nyuma kabisa yanafana na Libray.
 
Back
Top Bottom