The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,537
Au hii uliyosema ni ya SwedenWhy should I have a picture of dwaf buildings as my screensaver?




Au hii uliyosema ni ya SwedenWhy should I have a picture of dwaf buildings as my screensaver?




Hivi ndivyo hawa watu wanne Geza Ulole ,joto la jiwe, ichoboy01 na The best 007 wanavyozubaa wanapoona hizi picha moto za Nairobi.
Check post number 323847. Hadi ukampea like.Nani aliyesema hiyo picha co ya Kenya, unataka kufosi ili awe kama wewe uliyewahi kuita picha ya Tz ni ya Sweden![]()
Nimesema jengo la BOT Pension tower kama sisi tulivyo na CBK Pension Tower nikakuelezea ni department ya CBK ukakana. Sasa nionyeshe hilo la BOT Pension Tower sio tu jumba lolote lililo na jina pension.Si umetaka jengo la Pension km cbk Pension tower au?
Hivi wewe una stiegler Gorge Ngapi ama unatuwekea za Magufuli? 🤣 🤣 🤣Mzee wa maziwa vipi una own ng'ombe wangapi!? Au unatuwekea Ng'ombe wa mama Ngina!?
🤣🤣🤣
Mwanangu kwa mambo ya technology nimekuzidi mbali mno. So ficha upumbavu wako. Nenda shule kajifunze technology. Wakati tunasoma nyie mnakula chang'aa kibera
I can`t put that ugly building as my screensaver.
Kumbe hujui historia, pwani ya Africa mashariki ilikuwa aina ya majengo yake hata kabla ya wageni kuja. Ukiangalia kwa makini majengo ya zamani ya Dar, Tanga na Bagamoyo utaona yana utofauti na yale ya Zanzibar. Yale ya Zanzibar yanafanana na yale ya Omani wakati yale ya bara yanafanana na majengo ya zamani ya himaya za Kilwa na Mwenemutapa.
Hiyo historia unayoongelea ni ya kuletwa kama tu hii yetu ya majengo ya Wazungu unayoibeza - hiyo ni ya majengo ya Waarabu wa Omani. Sasa kabla useme Kenya iko colonized, pia nawe uache kuiga Waarabu ujenge chakoWajerumani walipovamia pwani yetu walishangazwa na ujenzi huo wa pwani (kwa jinzi unavyo maintain humidity and temperature) na kuamua kuiga usanifu huo wa waafrika.
Majengo waliyojenga wajerumani kwenye makoloni yao mengine kama kule Namibia ni tofauti na yale ya Tanganyika, kule walijenga kutumia usanifu wa kijerumani (Gothic). Kama hujui, usanifu huo wa kiswahili unatokana na kuiga usanifu wa siafu (ants) wanapojenga kichuguu (anthill). Jotoridi ndani ya kichuguu huwa hakibadiliki sana kulinganisha na joto la nje.
Naona kitu kinafika 20 hicho kimasiharamasihara
Sasa umeiba picha yangu tena? 🤣 🤣 🤣Mwanangu kwa mambo ya technology nimekuzidi mbali mno. So ficha upumbavu wako. Nenda shule kajifunze technology. Wakati tunasoma nyie mnakula chang'aa kibera
View attachment 1993806
Kufikia wapi? Kukuwa na 9,000Km of paved roads nchji nzima ama?
Twende ground kakaOfisi zenu za serikali ni vituko aiseh!
Pwahahaha 🤣🤣🤣 Unatuletea Ng'ombe 6 waliokondeana.Hivi wewe una stiegler Gorge Ngapi ama unatuwekea za Magufuli? 🤣 🤣 🤣
Unaweka filter na bado naona vumbi.
Hao ni wakunya bila hata ya kuuliza ...cha kushangaza watu wazima kama hao wana kunya kwa mfukoHivi ndivyo hawa watu wanne Geza Ulole ,joto la jiwe, ichoboy01 na The best 007 wanavyozubaa wanapoona hizi picha moto za Nairobi.
![]()


Tanzania ina majengo mengi over 20 sema hatuna habari.Naona kitu kinafika 20 hicho kimasiharamasihara
Ninaonesh namna ulivyomweupe. Nenda shule mwanangu. Japo uondoe ujingaSasa umeiba picha yangu tena? 🤣 🤣 🤣
Hivi unataka ulinganishe milk production ya Kenya na Tanzania? Hivi hujui hapo kwa shelf za supermarket mmejaza maziwa ya Kenya wee mwehu?
Huwa siongei na Nurses. Nenda kwanza kasaidie wangonjwa ndio uje kuongea na wanaume hapa.Kufikia wapi? Kukuwa na 9,000Km of paved roads nchji nzima ama?
Buildings za over 20 Tanzania nzima hata hazifiki 30. That`s a shame.Tanzania ina majengo mengi over 20 sema hatuna habari.