Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2018-01-27.jpg
2021-04-06.jpg
 
Hizo jeshi za majimbo sio kamili mkuu. Hazina heavy weapons. Hata TDF iliiba heavy weapons kutoka ENDF walipovamia kambi la jeshi la ENDF mwaka uliopita. Waliiba vifaa kama tanks na artillery guns. Isitoshe jeshi za majimbo hazina airforce ndio maana TDF anapigwa kama mtoto kwenye vita vya hewa maana ENDF ana drones na jets ilhali TDF haina drones wala jets. Pia hawana surface to air missiles ya kuangusha ndege hizi.

Sasa mbona wanatekwa maelfu kwa maelfu
 
Sasa mbona wanatekwa maelfu kwa maelfu
Airforce pekee haiwezi kushinda vita. Jeshi la ardhi la ENDF ni hafifu sana ukiilinganisha na TDF. Wanakamatwa kwa maelfu kwa sababu TDF wapo vizuri kwenye vita vya ardhi kushinda ENDF.
 
Siku moja ningependa upige mwenyewe picha za Nairobi kwa simu yako alafu zitupie humu kama cc tunavyofanya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siku moja ningependa upige mwenyewe picha za Nairobi kwa simu yako alafu zitupie humu kama cc tunavyofanya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maumivu yako peleka Tandale kijana, sikuwaambia mjaze jiji lenu na dreamhouses
 
Kenya ni slums, Slums ni Kenya, yn ni aibu sana 3/4 ya wakazi wa Nairobi ni slum dwellers.
 
Back
Top Bottom