nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,839
endelea kujidanganyaHuwezi compare Kenya vs Tanzania in terms of manufacturing. Kenya is way ahead, we even supply Milk ATMs which have been manufactured locally to TZ and Eastern Africa.
endelea kujidanganyaHuwezi compare Kenya vs Tanzania in terms of manufacturing. Kenya is way ahead, we even supply Milk ATMs which have been manufactured locally to TZ and Eastern Africa.
Do you manufacture milk?Huwezi compare Kenya vs Tanzania in terms of manufacturing. Kenya is way ahead, we even supply Milk ATMs which have been manufactured locally to TZ and Eastern Africa.



Ndio tunawapowambia mkenya wa kawaida akija tz hawezi teseka km vile mtz wa kawaida aje hku..Gharama ya viwanjaa tz ipo chini hiyo inasababisha watu kujenga majengo mafupi mfano hapa dar viwanja unapata hadi tsh1,000,000 sawa sawa ksh50,000 .kwa kutumia Akili ilitakiwa kenya kuwe na magorofa marefu zaidi ya mara 10 ya tz lakini wapi.pia watz wanajenga nyumba zao binafsi kwa sababu ardhi inapatikana kwa bei chini hivyo biashara ya apartment siyo kubwa kama kenya
Hyo cola tayari ujue cocacola anapiga helaNtapita Supermarket kadhaa nipige picha shelf za Maziwa ataje maziwa yao
Jana nilikua naangalia shelf za vinywaji Baridi, ujue Cocacola na Pepsi wanapewa za Mbavu balaa.
Kuna Azam Cola
Mo cola
Super cola ( Milkcom)
Afiya
Twist etc.
Hizo kampuni kadhaa kila moja ikiweka flavor tatu hilo linshelfu lote linajaa.
Azam ndio kila kitu hadi landha ya ukwaju![]()
Hamna donation hapoEti ku![]()
11 pekee, waaaaa!!! Manufacturing nayo muko nje. Tanzania ya Viwonder.
Biggest, longest, tallest hizi ni issue za primitive people. Watu ambao hawana exposure. Do you know even how Africa is!?I'm stating a fact. The biggest milk producer in Africa. You probably use our milk every day.
Mbona na wewe hayo majengo huyataki na wakati ni ya CBK tu badoFala wewe hujanielewa, na usithubutu kukimbia swali langu kwa upumbavu wako, hamtaki jengo la cbk kwa sababu ni baya na mnajua limechapwa na lile la BOT, tumewawekea jengo la cbk linalotambulika mnalazimisha Pension tower na times tower ndo yawe majengo ya cbk, mbn Google haitambui sasa,View attachment 1994119


hiyo ni agroprocessing na si manufacturing!11 pekee, waaaaa!!! Manufacturing nayo muko nje. Tanzania ya Viwonder.
good to know that this building is located along Kikuyu Avenue in Dodoma
this building looks like it was opened in 2020 or 2021, what were you guys using before ama hamkuwa nayo? it seems what you guys are achieving now is what we did back in the 60's and 70's
Central Bank of Kenya, Kisumu
View attachment 1994031
Oky Kumbe haukuwa wewe, nilipost Central Bank of Tanzania DODOMA branch, mwenzako akapost kisumu, nikapost tena Mwanza branch wewe ukarudia tena Kisumu.. ndio mana nikakwambia hakuna kurudia mradi mmoja while mimi niliweka miradi miwili
Nimesema Milk ATMs, pengine hujui hio nini lakini si ni shauri yako.Do you manufacture milk?![]()
Chizi hilo, mtu mwenye akili hawezi kujisifia maziwa wakati wanakufa kwa njaa, kwanini hayo maziwa yasisaidie kupunguza njaa?Biggest, longest, tallest hizi ni issue za primitive people. Watu ambao hawana exposure. Do you know even how Africa is!?
Which countries do you sell your milk!?
How many countries do Africa have!?
Do you know the population of Africa!?
Please answer my question properly I will give you a nice pride.
Before you do any processing you need to set up manufacturing plants. Na hapo ndio mumeshindwa. Processing sio kitu kubwa ju hata Yogurt unaeza jitengenezea kwa nyumba.hiyo ni agroprocessing na si manufacturing!
Jamaa anasema ni biggest milk producers hayo maziwa hayajulikani hata Mogadishu. Yani akiona hizo bidhaa zimetapakaa Kibera anadhani ndio Africa.Chizi hilo, mtu mwenye akili hawezi kujisifia maziwa wakati wanakufa kwa njaa, kwanini hayo maziwa yasisaidie kupunguza njaa?
🤣🤣🤣Wewe ndiye msomi uliyetumwa na mama Ngina kuja ku argue na watanzania walioelimika kitambo!?Before you do any processing you need to set up manufacturing plants. Na hapo ndio mumeshindwa. Processing sio kitu kubwa ju hata Yogurt unaeza jitengenezea kwa nyumba.
Sasa mbona unasema narudia picha wakati we ndio unarudia? Hii ya Mwanza hukuwa ushapost?Central bank of Tanzania DODOMA branch 👇View attachment 1994288View attachment 1994289CENTRAL BANK OF TANZANIA Mwanza branch 👇View attachment 1994290View attachment 1994291CENTRAL BANK OF TANZANIA Arusha branch 👇View attachment 1994299we jamaa Nicxie njoo hapa ulete ofisi za CENTRAL BANK OF KENYA at least kwenye mikoa mitatu outside NAIROBI .. sio upige kelele tu alafu ground tunawapiga gepu.. NB hayo majengo yote hapo chini hakuna la mkoloni 😂😂😂..
Mulielimika na hata hamuwezi tengeneza a simple Milk ATM. Mumejazana Kenya kununua, we like to benefit from your laziness by the way.🤣🤣🤣Wewe ndiye msomi uliyetumwa na mama Ngina kuja ku argue na watanzania walioelimika kitambo!?
Tuwekee yenye inatumika saa hii. Kama hakuna sisi tutajua ni hii yenye hutaki ndio inatumikaJengo hilo halitumiki tena hata..naona limefungwa hata 10 years now
Vingine 15 Hivi hapa halafu angalia kama umeona TANGA FRESH, AZAM MILK, DAR FRESH etc katika hizo.11 pekee, waaaaa!!! Manufacturing nayo muko nje. Tanzania ya Viwonder.