Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Twende ground kaka
Ndio utoroke vile ulitoroka ligiya 20+ floors baada ya kupata kichapo? Anza na hili gofu ambayo ndio ofisi ya makamu wenu wa Rais
images (20).jpeg
 
Funga account kama uko na kende 😂 😂 😂 😂 count.., kama express way ulishindwa kufunga ni empty kiswahili umebaki nayo sembuse hili., uta change ID tu., idiot 😂 😂 ..,
2979678_images_31.jpeg
umekuja kusaidia ushuzi 😂😂😂 haya jamba sasa na wewe 😂😂😂😂😂
AF9F0AAE-C1FC-4233-9EF2-A2D9DB69BEBA.jpeg
 
Mbona usitueleza ni buildings gani kwa list yetu ambazo ni za uongo aisee? Mwenzako The best 007 alipost gorofa 17 zenye urefu wa over 100m na tukapata kwa hizo, 7 hazikufika 100m, tulimuumbua na tukataja zile ambazo hazikufika. Mbona wewe usiseme hivo? List ndio hili, tutajie zile za uongo tuziondoe.

Updated list

1. GTC Office tower - 43 floors
2. GTC Hotel - 35 floors
3. Prism Tower - 34 floors
4. UAP Tower - 33 floor
5. GTC Apartments 1 - 33 floors
6. Britam Tower - 31 floors
8. GTC Apartments 2 - 31 floors
9. GTC Apartments 3 - 31 floors
10. CBK Pension Tower 1 - 30 floors
11. GTC Apartments 4 - 29 floors
12. KICC - 28 Floors
13. Social Security House (NSSF) - 28 floors
14. Teleposta Tower - 27 floors
15. CBK Pension Tower 2 - 27 floors
16. Upper Hill Chambers - 26 floors
17. Nyayo House - 27 floors
18. Anniversary Tower - 27 floors
19. LeMac Building - 25 floors
20. 4th Ngong Avenue Tower - 23 floors
21. KCB Tower - 23 floors
22. Ambank House - 22 floors
23. Lonrho House - 22 floors
24. University of Nairobi Tower - 22 floors
25. Co-op House - 25 floors
26. Movenpick Hotel - 21 floors
27. Uchumi House - 21 floors
28. Kenya Re Tower - 21 floors
29. Delta Corner 1 - 21 floors
30. Delta Corner 2 - 21 floors
31. National Bank House - 20 floors
32. Jaffery Complex 20
33. Viewpark Tower - 20 floors
34. Kings Distinction - 20 floors
35. Parliament Tower - 25 floors
36. The Marquis A - 21 floors
37. The Marquis B - 21 floors
38. FCB Mirhab Tower - 25 floors
39. One Place Africa Tower - 20 floors
40. Times Tower 33 floors
41. Dunhill tower 20 floors
42. MJ1 Tower 20 floors
akili ya mwendawazimu pekee 😂😂😂😂
C98F8111-9CCA-4D4D-A38E-C74179DCFADE.jpeg
 
Yaani huko Kenya wewe ndio unaitwa msomi. Yesu na maria.
Unatuketea Ng'ombe sita wembamba kama ufito na unasema Best Diary production in Africa!!! Are you serious!?
🤣🤣🤣

View attachment 1993854
🤣🤣☺️
Boss, akili yako ni mavi ama ubongo? Nikipost hizo ng'ombe haimaanishi ni hizo pekee zilizo Kenya. Hivi una akili wewe? Kweli Bongo kuna wendazimu.🚮🚮
 
Mtanzania aambie Mkenya aende shule? Maajabu ya Musa.
Kwamba Wakenya ndiyo wamesoma au

Mbn mna reason kipumbavu sn hata kule twitter ni wajinga mno, kingereza hamjui (mana mkenya anachanganya kati ya kusoma na kujua kingereza), pia kiswahili hamjui mmebaki kuendekeza ukabila.

Wakenya ni watu washamba na wasioenda shule na ndiyo maana co wastaarabu, wanakunya barabarani, miji yao michafu, mafukara cz 90% wanaishi kwenye slums and that's why cc watanzania huwa tunawadharau kwa kuwaona hamjasoma.
 
Kilwa Ruins
View attachment 1993855

Zimbabwe Ruins
View attachment 1993863



FYI Waomani walikuja 19th century, himaya ya Kilwa ilikuwepo toka 9th century. Sasa nioneshe magofu yoyote mliyojenga nyinyi kabla ya wageni kuja (usiniletee fort Jesus hapa).
Boss, you're wasting your time. I know about all these kingdoms you're posting but you and I know the Tanzania state House architecture is Arabic. Tunapingana nini? You're now reasoning like idiots such as Venus Star and ichoboy01
 
kuna baadhi ya wakenya nimewaona wanatamani hii thread ife kabla ya modern electric train in africa kuanza kazi manake kuna kiyama kina kuja hapo 😂😂😂😂😂😂 na bahat nzuri nashkuru itaanza kabla ya uchaguzi wao ili wapasuane ipasavyo
 
Kwamba Wakenya ndiyo wamesoma au

Mbn mna reason kipumbavu sn hata kule twitter ni wajinga mno, kingereza hamjui (mana mkenya anachanganya kati ya kusoma na kujua kingereza), pia kiswahili hamjui mmebaki kuendekeza ukabila.

Wakenya ni watu washamba na wasioenda shule na ndiyo maana co wastaarabu, wanakunya barabarani, miji yao michafu, mafukara cz 90% wanaishi kwenye slums and that's why cc watanzania huwa tunawadharau kwa kuwaona hamjasoma.
Kenyans are more learned than Tanzanians. That's a fact. It's Kenyans, Ugandans, Rwandese, Tanzanians and lastly Burgundians in that order
 
Times Tower is 100% occupied by the KRA, kutoka floor ya kwanza hadi ya mwisho. It doesn't have any other tenant apart from the KRA. KRA and Central Bank are one and the same thing, ndio maana hata hizi buildings mbili (Times Tower and Central Bank) zinakaribiana
Pumbavu wewe KRA and Central Bank are the same thing so kwann hao waitwe KRA na hiyo iitwe Central Bank.

Leta hapa roles za Revenue authority alafu leta na roles za central bank.
 
Kenyans are more learned than Tanzanians. That's a fact. It's Kenyans, Ugandans, Rwandese, Tanzanians and lastly Burgundians in that order
Kujua kiingereza sio usomi we mpumbavu, English ni lugha kama kidigo, kisambaa au kigiriama... Wachina hawajui kiingereza na ndio baba wa dunia kwa sasa.. unajua kwanini.?
 
Kujua kiingereza sio usomi we mpumbavu, English ni lugha kama kidigo, kisambaa au kigiriama... Wachina hawajui kiingereza na ndio baba wa dunia kwa sasa.. unajua kwanini.?
Sijaongelea kiingereza wee kilaza. Nimeongelea usomi. Najua kiingereza ni weakness yenu ndio maana unajishuku.
 
Back
Top Bottom