Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tutapata umeme kwa Bei ndogo Sana, na Ile pesa itakayopatikana kwa kuuza umeme itaenda kujenga miradi ya maji vijijini ambako wanakijiji wanapewa maji bure bila malipo yoyote, pesa ingine itaenda kujenga mifumo ya umwagiliaji mashamba vijijini wananchi wanatumia bure bila malipo
Nimekuuliza kama utapata bure maanake unaona kama ni yako.
 
Pumbavu wewe KRA and Central Bank are the same thing so kwann hao waitwe KRA na hiyo iitwe Central Bank.

Leta hapa roles za Revenue authority alafu leta na roles za central bank.
Bongolala, wewe unaishi Tandale mimi naishi Nairobi. Sasa iweje leo unajua maswala ya Kenya kunishinda mimi mwenyeji? Kama Times Tower si mali ya CBK, iweje inaitwa New Central Bank Tower?

CBK is the banker for, and advisor to the government of Kenya. All monies collected by the KRA through taxes, both at the national and county government levels, are banked at the Central Bank of Kenya. Bado unataka kujua mengi?
 
Kwani hili ni jengo lenu bro, weka majengo yenu tushindanishe na ya kwetu .. kwa mfano 👇 bank of Tanzania DODOMA branchView attachment 1993992
Kwani hiyo ofisi ya makamu wenu wa Rais si jengo yenu ya serikali? Mbona hutaki nizungumzie hilo gofu? Ama hizi ndio dalili za mapema za kushindwa?

Sawa basi, tupatie makao makuu yenu ya wizara ya fedha tufanishena yetu. Yetu ndio hii hapa
images (25).jpeg
images (26).jpeg
 
Boss, you're wasting your time. I know about all these kingdoms you're posting but you and I know the Tanzania state House architecture is Arabic. Tunapingana nini? You're now reasoning like idiots such as Venus Star and ichoboy01

Ikulu yetu inafanana na ruins za kilwa (9th century) , kama hupendi jinyonge.
 
good to know that this building is located along Kikuyu Avenue in Dodoma

this building looks like it was opened in 2020 or 2021, what were you guys using before ama hamkuwa nayo? it seems what you guys are achieving now is what we did back in the 60's and 70's

Central Bank of Kenya, Kisumu
View attachment 1994031
Mimi sizungumzii majengo ya kurithishwa na wakoloni bro
 
Kwani hiyo ofisi ya makamu wenu wa Rais si jengo yenu ya serikali? Mbona hutaki nizungumzie hilo gofu? Ama hizi ndio dalili za mapema za kushindwa?

Sawa basi, tupatie makao makuu yenu ya wizara ya fedha tufanishena yetu. Yetu ndio hii hapaView attachment 1994040View attachment 1994041
71.jpg
DpP3cx_X4AEUIUg.jpg

Sorry kwenye hili hatutumii majengo ya urithi wa mkoloni.. hii ni ofisi tu .. jengo lenyewe linajengwa it's U/C
 
Ruins za Kilwa ni architecture ya Mwarabu. Kama tu Ruins za Gedi hapa Kenya. Acha kujifurahisha.

Gedi Ruins, Kilifi, Kenya

View attachment 1994046
Julize ni kwa nini ngome ya Mwenemutapa inafanana na Kilwa, huko kulikuwa na waarabu ?

Kwa nini kuna propaganda duniani inayoenezwa kuwa waliojenga Mapiramid ya Misri ni hawa waarabu wa sasa wakati inajulikana walienda pale karne ya 7AD? Wakati mapiramid yalikuwepo zaidi ya miaka 3000BC

Kwa nini sanamu za Misri zimekatwa pua? Usiniambie ni erosion, yaani itokee puani pekee?

Kwa nini utawala wa Zanzibar unasifika sana kuliko Kilwa? Wakati utawala wa Kilwa ulikuwepo miaka 700 kabla ya Seyyid Said kuhamia pale ZNZ?

Ukipata haya majibu utajuwa hujui.
 
Kwani tulikuwa tunazungumzia ukubwa wa Library au Ubora wa University? Sasa ebu wewe mtoto wa nje wa Einstein uliyerithi akili zake tuambie, bado KU Library ni kubwa kuliko the entire UDOM?
Of kos haiezi kua kubwa kuliko CONDOM but inapiga Library zote Danganyika kwa ukubwa. Hadi ile maktaba ya dar-is-a-slum university
 
Back
Top Bottom