Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baadhi ya vijiji hapa Tanzania.True middle income inabidi tuanzishe battle kulinganisha quality ya maisha ya wanavijiji wa ke na Tz.Hapa ni vijiji huko Bukoba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1993930View attachment 1993932View attachment 1993931View attachment 1993933View attachment 1993934
Munjombe hebu tia neno hapa mana wewe upo kwenye battle ya bukoba vs njombe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nimekuuliza pension house ya BoT. Hiyo umeshindwa kunipa sababu hamna hiyo.
Unadhani cc ni the failed state kama nyinyi, yn institutes kunako Kunyaland zinaingiliana tu haijulikani hii ina perform roles zipi na ile ina perform roles zipi, yn bora liende, no wonder politicians wanakula tu pesa zenu cz hamna akili ya ku reason.
 
Unadhani cc ni the failed state kama nyinyi, yn institutes kunako Kunyaland zinaingiliana tu haijulikani hii ina perform roles zipi na ile ina perform roles zipi, yn bora liende, no wonder politicians wanakula tu pesa zenu cz hamna akili ya ku reason.
🤣🤣🤣

Hakuna institute iitwayo pension wee kilaza. Elimu yenu kweli ni ovyo. Kila parastatal ya government ama agency ya government iko na department yake ya pension. CBK pension tower ni headquarters za CBK pensioners + other CBK headquarters ndio maana nikakueleza Hilo jengo ni part of CBK Complex kwa hivo usijifchoche na BoT towers Sana maanake kwenu kila kitu kipo hapo, kwetu kumegawanyika.
 
Nyie mko na majengo ya kuanguka?

Ndio Haya matokeo ya elimu yetu. Fungua link usome.

Haya ndio maneno sio matokeo ya elimu .. ona matokeo ya elimu yenu 👇
collapsedhouses140115.jpg
afp_building_collapse.jpg
01nairobi-superJumbo.jpg
4f1c48b2687b46e9a191e3de91cd45d9.jpg
elimu yenu inazalisha vilaza, maneno mingi Ila matokeo yake ni zero.. haya hii hapa ni matokeo ya elimu ya Tanzania 👇
2841563_IMG_20200624_195303.jpg
PPF TOWER : ::: Estim Construction :::.
maxresdefault(4).jpg
hizi hapo juu ni facilities zilizotengezwa na Tanzanians wenyewe, kampuni za kitanzania, mafundi wa kitanzania, na hii ndio tunaita elimu, sio elimu yenu nyinyi ya kujisifu kujua kiingereza.. 😂😂😂 kujua kiingereza ni sawa na mtu kujua kisambaa yaani (vernacular languages).. and mind you hii ni miradi michache tu nimepost ulitaka ntakukomesha
 
Kwani hili ni jengo lenu bro, weka majengo yenu tushindanishe na ya kwetu .. kwa mfano 👇 bank of Tanzania DODOMA branchView attachment 1993992
good to know that this building is located along Kikuyu Avenue in Dodoma

this building looks like it was opened in 2020 or 2021, what were you guys using before ama hamkuwa nayo? it seems what you guys are achieving now is what we did back in the 60's and 70's

Central Bank of Kenya, Kisumu
02271421-EF12-4FB2-99D8-4972442BD5E2.jpeg
 
Kwa hivo utapata stima bure juu it's owned by Tanzanians ama?[emoji1787][emoji1787]
Tutapata umeme kwa Bei ndogo Sana, na Ile pesa itakayopatikana kwa kuuza umeme itaenda kujenga miradi ya maji vijijini ambako wanakijiji wanapewa maji bure bila malipo yoyote, pesa ingine itaenda kujenga mifumo ya umwagiliaji mashamba vijijini wananchi wanatumia bure bila malipo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hazina majina lkn uliziona au hukuziona na zikakuchapa, au nikuletee tena [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Utanileteaje bustani ya hoteli useme ni recreational park ukiulizwa ywaitwaje unaseme haina jina! Unatuona sisi ni watoto wa chekechea wa kuning'iniwa peremende?
 
Haya ndio maneno sio matokeo ya elimu .. ona matokeo ya elimu yenu 👇View attachment 1994013View attachment 1994014View attachment 1994015View attachment 1994016elimu yenu inazalisha vilaza, maneno mingi Ila matokeo yake ni zero.. haya hii hapa ni matokeo ya elimu ya Tanzania 👇View attachment 1994025 PPF TOWER : ::: Estim Construction :::. View attachment 1994028hizi hapo juu ni facilities zilizotengezwa na Tanzanians wenyewe, kampuni za kitanzania, mafundi wa kitanzania, na hii ndio tunaita elimu, sio elimu yenu nyinyi ya kujisifu kujua kiingereza.. 😂😂😂 kujua kiingereza ni sawa na mtu kujua kisambaa yaani (vernacular languages).. and mind you hii ni miradi michache tu nimepost ulitaka ntakukomesha
Unalinganisha commercial towers zenu na majengo yetu ya ghetto?🤣🤣

Boss, here is the equivalent of those Nairobi buildings you posted in Dar.

images (98).jpeg


Na ukitaka equivalent ya hiyo PPF Tower Nairobi ndio hii.

images (99).jpeg
 
Back
Top Bottom