komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hela iliyotumika ku pimp hyo matatu mzee inakulipa mshahara mara kibaoUchafuuu


Hyo graffiti tu kulipia utahara
Hela iliyotumika ku pimp hyo matatu mzee inakulipa mshahara mara kibaoUchafuuu


Mbona unatema pumba mzee, mbona wenzako reviews zao ni tofauti na zako au unafikiria wa tanga mombasa hatunao sio...Hivi vipanki havitumiwi tena Tanga ni old fashion gari ikipanda tuta, kichwa kinagonga roof .. siku hizi ni mwendo wa hizo dungu kama niliyopost, hivyo vipanki havitumiwi tena labda Arusha kidogo ndio wanatumia hivyo ila kwa Tanga tulishavipiga ban hakuna mtu atapanda ukileta nowdays
Bora hata umemuelimisha,huku Tzn inflation imeongezeka kidogo ila sababu ni kwa vile serikali ime pump fedha nyingi kwenye uchumi..Inflation increases with economic growth. Najua huelewi correlation between the two lakini si ni shauri yako.
Bado tunatia aibu kwenye national team.hatimae FIFA wametoa ranking yao mpya leo
hizi ni ranking za dunia nzima
View attachment 1981664
- Tanzania tumepanda nafasi 2 kutoka nafasi ya 132 hadi 130
- Rwanda wameshuka nafasi 5 kutoka 128 hadi 133 (tumewazidi)
- Kenya wameshuka nafasi 2 kutoka 102 hadi 104
- Uganda wamepanda nafasi 4 kutoka nafasi ya 86 hadi 82
View attachment 1981665
ranking za mwanzo kbla za leo
View attachment 1981666
View attachment 1981667
imekuja hiyohatimae FIFA wametoa ranking yao mpya leo
hizi ni ranking za dunia nzima
View attachment 1981664
- Tanzania tumepanda nafasi 2 kutoka nafasi ya 132 hadi 130
- Rwanda wameshuka nafasi 5 kutoka 128 hadi 133 (tumewazidi)
- Kenya wameshuka nafasi 2 kutoka 102 hadi 104
- Uganda wamepanda nafasi 4 kutoka nafasi ya 86 hadi 82
View attachment 1981665
ranking za mwanzo kbla za leo
View attachment 1981666
View attachment 1981667
noma sana
Bado tunatia aibu kwenye national team.
umeishiwa hojaKwenye diplomasia Kenya inawapiga mnakaa chini. Usilete ligi kwa vitu ambavyo tuliwapiga zamani. Kwanza idadi ya embassy pekee Kenya ina embassy nyingi ulaya kuwashinda. Hata likija swala la idadi ya marais wa nchi zenye nguvu unakuta Kenya imepokea marais hao wengi kuwashinda. Kwa utawala wa rais Uhuru pekee tumepokea rais au Waziri mkuu wa S. Korea, Israel, India, USA, UK, Italy, France na Japan. Usicheze na Kenya weweee. Tafuta ligi yako kijana. Nenda katafute ligi na burundi sio Kenya. Kwanza Japan alihost Africa summit hapa Nairobi in 2016. Shinzo Abbe alikuja na serikali yake karibu yote na marais wa Afrika pia walikuja Nairobi kwenye hio summit.





umeishiwa hojaWazungu wenyewe ndio wanasema Diani ni beach bora Africa. Hio sio kauli yangu.



Mzee kumbe mpo number 132? Kudadeki! Tumewashinda kwenye michezo zote. Yaani hata hii kandanda ambayo Kenya inafanya vibaya hamuwezi kutushinda? Sasa likija kwenye rugby au riadha ndio mtatuweza? Mnaweza kufanya nini cha maana isipokuwa kukula na kujaza dunia? Hahaha. Mnatia huruma,kinyaa na kichefuchefu.hatimae FIFA wametoa ranking yao mpya leo
hizi ni ranking za dunia nzima
View attachment 1981664
- Tanzania tumepanda nafasi 2 kutoka nafasi ya 132 hadi 130
- Rwanda wameshuka nafasi 5 kutoka 128 hadi 133 (tumewazidi)
- Kenya wameshuka nafasi 2 kutoka 102 hadi 104
- Uganda wamepanda nafasi 4 kutoka nafasi ya 86 hadi 82
View attachment 1981665
ranking za mwanzo kbla za leo
View attachment 1981666
View attachment 1981667
Mzee kumbe mpo number 132? Kudadeki! Tumewashinda kwenye michezo zote. Yaani hata hii kandanda ambayo Kenya inafanya vibaya hamuwezi kutushinda? Sasa likija kwenye rugby au riadha ndio mtatuweza? Mnaweza kufanya nini cha maana isipokuwa kukula na kujaza dunia? Hahaha. Mnatia huruma na kinyaa.




Fifa ranking sometimes ni craziness imagine Tz inazidiwa na Palestine ambayo hata haijulikani inacheza wapi.Mzee kumbe mpo number 132? Kudadeki! Tumewashinda kwenye michezo zote. Yaani hata hii kandanda ambayo Kenya inafanya vibaya hamuwezi kutushinda? Sasa likija kwenye rugby au riadha ndio mtatuweza? Mnaweza kufanya nini cha maana isipokuwa kukula na kujaza dunia? Hahaha. Mnatia huruma,kinyaa na kichefuchefu.
Na hilo pia unanibishia,na picha nimetuma .? We ni matako kweli wewe, Mimi Tanga sio mpita njia nimezaliwa nimeishi karibu maisha yangu yote.. hivyo vipanki vilikua vikitumika zamani sana muulize mwenyeji wa tanga yeyote atakwambia .. siku hiz watu hawavitumii.. mchongo ni madungu yenye space kubwa kwa juu ..Mbona unatema pumba mzee, mbona wenzako reviews zao ni tofauti na zako au unafikiria wa tanga mombasa hatunao sio...
Wenyewe wakipanda wanapagawa, kwanza vigari vya mombasa tanga vichafu kweli kweli...
Mimi nilitegemea mtushinde angalau kwenye kandanda maana huwa tumelegea sana upande huo. Au basi hata mngetushinda kwenye rugby maana rugby huwa inataka mijitu yenye miraba minne iliyokula na kujishibia na kuvimbiwa. Nyinyi huwa mnajidai mna chakula kwa wingi na sisi tunakufa njaa. Sasa iweje watu kama sisi tunaokufa njaa ndio angalau tunajaribu kucheza rugby ila nyie mijitu yenye miraba minne mliokula na kujishibia bado mnashindwa kucheza mchezo huu? Mnakula sana ili iweje? Itakuwa mnakula na kukunya tu bila kutumia nguvu hio kwenye mambo ya maana.
Wacha kusingizia Fifa. Fifa ipo fair sana. Usidharau Wapalestina eti kwa sababu wana matatizo na Israel. Wao wana talanta pia kama watu wengine.Fifa ranking sometimes ni craziness imagine Tz inazidiwa na Palestine ambayo hata haijulikani inacheza wapi.
Hata sijwahiona au kusikia kume mechi wamecheza na kushinda😀😀😀Wacha kusingizia Fifa. Fifa ipo fair sana. Usidharau Wapalestina eti kwa sababu wana matatizo na Israel. Wao wana talanta pia kama watu wengine.
Hata sijwahiona au kusikia kume mechi wamecheza na kushinda![]()
Hapo hatujatumia full potential
yeah make it even 180USD...open joburg...A220 are more fuel efficent than any planes of its size..this was a good move by MagufuliBado ATCL inapaswa ipunguze bei hapa mwanzoni mwa biashara ili itengeneze "Customer base" kubwa na kuisambaratisha KQ kwenye hii route ndio irudi kwenye hizi Bei.