babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,305
- 35,733
Nyie wazee mnaonga parefu halafu show ya sekunde kadhaa ndio maana mabinti wanawaelewa maana hamuwachoshi. [emoji23][emoji23][emoji23]Ninyi ni pasua kichwa, hamtaki kutoa pesa lakini kitandani mnasimamia kucha,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana akionga elfu 50 lazima ahakikishe ametosheka.