The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Our new CBD 
















































Admiring the beauty of Dar-es-Salaam…
Kuushangaa uzuri wa Dar-es-Salaam…
: Unknown. Please tag the owner of this work 
cc Tony254Shida ni kwamba cc tulikuwa bize na ukombozi lkn pia viongozi waliopita hasa kwenye upande wa michezo walikuwa wamelala usingizi wa pono, Magu alikuja akaamsha kila kitu na ndiyo haya matunda mnayoona kwenye kila idara, wageni wanapokuja wanashangaa sn kuiona Tz ni nchi yenye kila kitu tofauti na walivyoambiwa kuhusu East Africa, juzi ofisini alikuja mmalawi anasema alikuja kwa ajili ya matibabu nikamuuliza unaonaje Tz akasema Tz ni nchi nzuri sana, nikamuuliza vipi kuhusu matibabu ukilinganisha na kwenu, akacheka akasema hakuna nchi ya kulinganisha na Tz kwa hapa EA kwenye suala la matibabu, c unaona mkono wng ulikuwa ushakufa ila hapa nimekaa mwezi tu niko vzr na kesho narudi nyumbani.
Wakenya nawakumbusha pia kwamba tunakwenda kuwa miongoni mwa nchi chache za Afrika kuwa na tiba bora zenye viwango mana wageni ni wengi sana wanaokuja kutibiwa hapa Tz kwa ss, yn hii nchi kwa ss imeamka kila idara, so mchukieni Magu cku zote mana kaja kuwaharibia kila sehemu![]()
hapo nikiingia kucheza mechi nakuwa nalenga mashoot kuelekea kwenye hizo chuma zilizoshikilia paa ili paa zote zoshuke chini
wakenya mnajifunza nini Tony254The lower middle income country.View attachment 1982311






Acha Wakenya wakasirike Bomba la Mafuta linakuja na faida nyingi!!!! Multiple Investments!!!tutegemee kukua kwa FDI kati yetu na French!!Yani ATCL inakwenda kuuwa KQ, huku electrified SGR inakwenda kuuwa firewood SGR, zen kule Victoria tunakwenda kutawala ziwa letu, bomba la mafuta tumechukua, biashara tuna export bidhaa zetu kwao kwa wingi alafu bado wanataka kushindana![]()
Bora waite hivyo hivyo geita maana kuna watu wakiona chato uwa wanaumia mioyoni mwaoHiyo Geita hapo kwa wasio jua ni ule uwanja mpya uliopo Chato ambao baadhi ya watu humu huwa wanakamatika na zile cheap politics za jukwaa la siasa.
ATCL wanaenda Geita (Chato) mara tatu kwa wiki.
Na wakunya mnavyowapapatikia wazungu sasa,kitu wakisema wao ndio kila kituWazungu wenyewe ndio wanasema Diani ni beach bora Africa. Hio sio kauli yangu.
Kuna sehemu niliona kuna jamaa kapost ethiopia imeomba itumie uwanja wa kasarani game yao na ghana kumbe alikua anadanganya au sijui ndio source zao za kibera!kupanda position kwenye ranking si mchezo.. hapo unapambana na mataifa yote dunian.. cha muhimu TaifaStars kushinda/kudraw mechi zote zinazotambuliwa na FIFA