Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,173
- 29,784
Hiyo siyo batarokota kunyavu

hiyo ni batarokota ku slumTatizo ni Raisi .....Rais goigoi huzaa serikali goigoiHapo hatujatumia full potential
1..Beach Tourism...Mafia , Lindi ,Tanga, Kigamboni..bado hatujazikoleza..inabidi kuwe na fukwe international yani kila mkoa hapo
2..Cultural tourism/Historical toursim..Kilwa Ruins, Bagamoyo , Mbozi metorite
3. National Parks ..Gombe, Mahale, Ruaha, Selous ..complete Iringa Airport
4.Conference tourism ..
5..
@komora096Tony254 unaeza kutueleza ile pesa mlevi aliwadanganya KRA imekusanya iko wapi? Au uchaguzi umekaribia




@Tony254Mlevi aliwadanganya economy yao itaenda 7.2 na sasa imf wanasema yakwao
Mlevi aliwadanganya economy yao itaenda 7.2 na sasa imf wanasema yakwao 😆😆😆
Sisi tumekuwa kipato cha kati kwa miaka minane sasa lakini nyinyi mumekuwa kwa mwaka mmoja tu ila sasa hatuwezi kupumua huku?Nchi yenye kipato cha kati.View attachment 1982313
Sasa kwanini bado njaa inasumbua Kama mpo kwa miaka 8?Sisi tumekuwa kipato cha kati kwa miaka minane sasa lakini nyinyi mumekuwa kwa mwaka mmoja tu ila sasa hatuwezi kupumua huku?


Waangalie wasiwape wale wachina wanaojenga flyover pale Chang'ombe na pale Uhasibu.flyover mbezi loading ..
View attachment 1982547
Inashangaza sana, nchi gani ya kipato cha kati bado inaongelea ukosefu wa chakulaSasa kwanini bado njaa inasumbua Kama mpo kwa miaka 8?![]()




Emu utuache kidogo nyinyi wa tz munapenda kutuonea penye tunapendaga kujitahidi uoni venye tumejipanga😃😃😃😃😃😃😃😃Nchi ya project moja, hata wajenge nini bado panakaa ushagoo, jamaa miji yao michafu sn, no wonder the country holds various dirtiest citiesView attachment 1982342
Mkenya akiongea maneno 100 jua 98 ni uongo,jamaa wameumbwa hivyo yan kiuongo uongoKwahiyo wazee Don YF na wakenya wenzako mlikua mnatupiga chaka.? 😂😂😂 Kujifanya Ooh uchumi wenu ulikua kwa 7.2% wazee ni waongo nyie khaa.!!
Hiyo kiwanja ni venye Iko under construction we Huna macho 😃
Huyo mama anakuanga na pesa nyingi Sana sai alipata kazi kwa serikali ni engineer ministry of water 😃Life in Nairobi, one of the most dertiest cities in Africa.View attachment 1982323
Mkenya Noma Sana 🤣🤣🤣🤣Mkenya akiongea maneno 100 jua 98 ni uongo,jamaa wameumbwa hivyo yan kiuongo uongo