The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ila hapa ulimsifia muuwaji au sio wewe.kuhuda wa kushangilia nikitukanwa! Magufuli ni muuaji na inapaswa wasaidizi wake kuulizwa Saanane na Gwamba wako wapi!
Ila hapa ulimsifia muuwaji au sio wewe.kuhuda wa kushangilia nikitukanwa! Magufuli ni muuaji na inapaswa wasaidizi wake kuulizwa Saanane na Gwamba wako wapi!
sikuwa najua madudu yake! Kipindi chake cha uhai vitu vilikuwa vinaenda kwa siri! Kuanzia uchaguzi wa 2020 alipoteza credibility kwangu!Ila hapa ulimsifia muuwaji au sio wewe.View attachment 1980077
jamaa ni wabishi hao ila wanachotaka watakipata,Wanyonge wa Magufuli saahii wanajichukulia sheria mikononi
Kaka wacha kujidanganya, bila certificate ya chanjo huruhusiwi kuingia nchi yoyote hapa duniani, karibu mashirika yote ya ndege bila kuchanjwa hawakuruhusu kupanda ndege zao.Hiajakubalika na wote bana, kuna maandamano na lawsuits kila sehemu. Huku waliko zitengeneza hizo mNRA , sasa wanashurutisha watu wachanje, la sivyo inabidi uache kazi. Wengi wameshaacha na tunatarajia mamilioni kuacha kazi siku zijazo.
Ukifikia hatua ukaona kwamba wewe ndiye uliyeumba matusi na wewe ndiye mwenye hatimiliki ya matusi huo ni ujuha. Kuna watu humu wana factories za matusi lakini wanachill kwa sababu kwanza hatuna sababu ya msingi ya kutukanana lakini pia kwa watu waliostaarabika kutukana kwao wanaona ni kujiongezea au kukuza conflict na siyo solution ya kujibu hoja.( has kwa sisi watz). Kila mtu akimua kutukana huma hata huu uzi utafungwa hivyo wengine wanaamua kuwa wapole lakini siyo kwamba hawajui kutukana. Wanjua sana na wana viwanda vya matusi tena ya kiwango cha SGR mbovu ya Kenya!~ BE OLD DOG!Niambie kipi kibaya nilichoandika? Ukinitukana mama yako anahusika!
Sasa mbn hukusema hiyo 2020 mpk ukaongea hivi 2021sikuwa najua madudu yake! Kipindi chake cha uhai vitu vilikuwa vinaenda kwa siri! Kuanzia uchaguzi wa 2020 alipoteza credibility kwangu!



Behave, huna ruksa ya kunitukana! Na si lazma unijibu! End of story!Ukifikia hatua ukaona kwamba wewe ndiye uliyeumba matusi na wewe ndiye mwenye hatimiliki ya matusi huo ni ujuha. Kuna watu humu wana factories za matusi lakini wanachill kwa sababu kwanza hatuna sababu ya msingi ya kutukanana lakini pia kwa watu waliostaarabika kutukana kwao wanaona ni kujiongezea au kukuza conflict na siyo solution ya kujibu hoja.( has kwa sisi watz). Kila mtu akimua kutukana huma hata huu uzi utafungwa hivyo wengine wanaamua kuwa wapole lakini kwamba hawjui kutukana tena kwa kiwango cha SGR mbovu ya Kenya!~ BE OLD DOG!
Au huyu co wewe, 2021sikuwa najua madudu yake! Kipindi chake cha uhai vitu vilikuwa vinaenda kwa siri! Kuanzia uchaguzi wa 2020 alipoteza credibility kwangu!



Na huna uwezo kunilazimisha kutokukujibu. Period!Behave, huna ruksa ya kunitukana! Na si lazma unijibu! End of story!
Hapo sasa maana sijakataza mtu kunijibu! Ukileta matusi tegemea kurudishiwa!Na huna uwezo kunilazimisha kutokukujibu. Period!
Kuna badhi ya nchi zinatoa religious or medical exemptions, hivyo msafiri anachotakiwa kufanya ni kuonesha negative covid test (24hrs before boarding).Kaka wacha kujidanganya, bila certificate ya chanjo huruhusiwi kuingia nchi yoyote hapa duniani, karibu mashirika yote ya ndege bila kuchanjwa hawakuruhusu kupanda ndege zao.
Marekani, watu wengi tuu wamegoma (karibu 80mil) na ndiyo sababu ya kuanzisha ushurutishwaji.Nitajie nchi yoyote iliyoendelea ambayo wananchi wake wamegomea kuchanjwa. Sasa hivi nchi Kama Netherlands wanakaribia 80% coverage rate.
Tanzania watu wameishi na Corona kwa zaidi ya mwaka bila kuwa na outbreak kama za nchi nyingine, kuna sababu gani ya kulazimisha wakati uhalisia ulishaonekana kuwa si tishio?Mkuu, lazima tukubali kwamba sisi waafrika Elimu hii ya sayansi haijatufikia kwa wingi, sisi ni watu wa imani na kuamini maneno ya mitaani zaidi, bila kuchapwa viboko au kusukumwa Kama alivyokua anatusukuma Magufuli hatuwezi kukubali Jambo lolote la maana, hapo ndipo atakapofeli mama Samia.
Washenzi wanajaribu kuzima nuru ya magufuli lakini wapi ona wanavyo shindwa kuwa upgrade wamashinga wamebaki kulalamikia magufuli, wakati magufuli alikuwa anajua hatima ya machinga katika mikakati yake ya kiuchumiHuyo atakuja kutambuliwa na rais wa kizazi kijacho, Nyerere amekuja kutambuliwa na kizazi cha Magu.
Wewe unajua mimi ni mtaalamu wa nini ? Hao unaosema wataalamu wengi awajachanja au ujui ?Ndio sababu Kuna wataalamu wa Afya wenye uwezo wa kutoa majibu ya maswali yako, sisi waafrika tatizo letu ni kujifanya wajuaji wa kila Jambo, hatuaheshimu kabisa "Professionalism", ninachokiona kwako ni upungufu katika eneo la "Medical Epidemiology and Biostatistics".
Hivi kwanini Malaria inaendelea kuua watu hata Kama wametumia dawa za Malaria ambazo tunaamini zinatibu, hivi kwanini tunashauriwa kutumia kondom hata baada ya kugundua kwamba wote MKE na mume ni HIV+?.
Wizara ya Afya na WHO ndiko kwenye wataalamu wa Mambo ya tiba, tuwasikilize na kuwaheshimu, ni ajabu kwa wasomi kuyumbushwa na watu Kama Gwajima ambaye hajulikani eneo alilobobea, yeye ni mtaalamu wa kila kitu "Kwa jina la yesu". Waafrika lazima tujitathmini upya.
Najua hawajagusia..ila BRT phase 5 might have been discusedJNIA terminal two kufanyiwa ukarabati soon na wafaransa ... . Yo wajuzi wa mambo hii imekaaje kitaalamu The best 007 Geza Ulole Simon
Wewe kwanza ni mdanganyika mmoja mjinga sana na mwenye IQ ya chini kabisa kwenye hii Kenyan section. Heri mama yako angezaa mkate angalau angeula ashibe. Mitandao ya kijamii kama forums au Facebook ni ya kila mtu.Hii Jf ni ya watz co ya Wakenya, hii kenyan section iliwekwa na mTz manake co kwamba founder ni mkenya, so nyie wakunya mkiona hampendezwi nayo ondokeni, mm nataka nyie wote muondoke humu ndani tubaki pekeetu tupeane vitasa.
Huna akili mpumbavu ww kwani ww unajua mpka leo uko apo unandika unacho taka unajua wangap wamekufa? Juu ya hii nchi leo unaniletea siasa mjinga kabisa ww utadhani ungekuw kwenye viatu vyake ungefanya any better...unadhani uraisi ni km kilimanjaro una kunywa tuu ...kisa umepewa vijisenti ndio uje kutupigia kelele apa mpuz moja ww....unatuletea mambo ya kucopy na paste apa unafikiri dunia iko white and black wacha upumbav...Kijana, mpumbavu/mafi ya kunya/chizi ni mama yako mzazi aliyekuzaa wewe mwenye mdomo mchafu! Kamfukue Magufuli umuulize miili ya Azory Gwamba na Ben Saanane ipo wapi? Yeye kafariki akazikwa wenzie hawakustahili kuzikwa?