Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Niice kwny round about!!!Waweke monument basi!!!Rais gani awekwe?!!!😀😀😀
Mwenye mradi wake awekwe tuu hili kupapendezesha hapoo
Niice kwny round about!!!Waweke monument basi!!!Rais gani awekwe?!!!😀😀😀
Magufuli kamnyonga nani ? Sisi tunazungumzia kuua kwa jumla siyo mahakamaniKwa uwelewa wangu ni mtu mmoja tu aliyenyongwa na Nyerere (Mzee Mwamwindi) baada ya kumuua kinyama mkuu wa mkoa wa Iringa(Dr. Kleruu), mahakama ilimtia hatiani kwa mauaji ya kukusudia na kuhukumiwa kunyongwa, Kama unamjua mtu yeyote mwengine aliyeuliwa na Nyerere tutajie tafadhali
Mbona walio chanjwa wanakufa serikali inaficha ,sasa kama wao wapo OK kwanini wasiwe wazi wangapi wamechanjwana kuugua kovidi na wangapi wamechanjwa wamekufa kwa kovidi ,pia kwanini baada ya kuchanjwa ndiyo wanavaa barakoa hadi wakati wanaoga wanaoga na barakoa tuta amini vipi kuwa chanjo ni ya kweli kama awajiachiiWatu wanakufa kila siku wewe unasema ni dhahifu, au unataka kusikia maelfu ya watu wanakufa Kama wanavyokufa nchi zingine ndio tustuke? "a wise person is the one who learns from others".
Tumepoteza watu wengi Sana, juzi taarifa za serikali zimesema watanzania zaidi ya 700 wameshafariki, tumepoteza watu muhimu Kama Kijazi na wabunge wengi, waalimu na Nurses wengi, bado unasema sio tatizo kubwa?
Noma,Nimelipenda desk lao la reception!!!limereflect jengo lenyewe!!!Ni noma yani Ni hatarii
Wamuweke mshua Magu na lile pama lake, I mean lile kofia lake la round!!! Ana deserve!!!.Mwenye mradi wake awekwe tuu hili kupapendezesha hapoo
Ile round about wasiweke mabango ya matangazo maana hawachelewi hawa!!!.Wamuweke mshua Magu na lile pama lake, I mean lile kofia lake la round!!! Ana deserve!!!.
Noma,Nimelipenda desk lao la reception!!!limereflect jengo lenyewe!!!
Huyo atakuja kutambuliwa na rais wa kizazi kijacho, Nyerere amekuja kutambuliwa na kizazi cha Magu.Wamuweke mshua Magu na lile pama lake, I mean lile kofia lake la round!!! Ana deserve!!!.
Ni kuamua tu!!!Ni kutangaza tenders kwenye mambo yote muhimu kwa ajili ya kuli maintain jengo!!! Ikiwemo usafi wa nje na ndani, landscaping mambo civil, mechanics and Telecommunications...etc,unaweka vigezo unawashindanisha pia anayeshinda unamtrack kwa kupitia performance appraisals, ukiwashindanisha hawa mabwana huwa wanakuwa na adabu kweli kweli kwenye kuperform.Ilo jengo zuri Sanaa nikifikiria kwenye maintenance kichwa kinanigonga kweli atleast kwenye airport tunajaribu jengo bado linameremeta
Who told you, kw taarifa yako basi uhuru ndio rais ambaye amefanya miradi mingi sana pwani hata kuliko rais yyte yule hapa kenya..Ngoja nikwambie kitu wapwani ni watu ambao wametengwa sana kimaendeleo na uhuru kenyatta na ndio sababu kubwa ya kuua pwani na watu wake na hio transportation ndio ilikua tegemezi kwa ajira kubwa sana kwa vijana wa pwani kupitia bandari leo hii mombasa imebakia ghost town na uchumi umekufa kabisavijana wamebakia kua majambazi wengine madawa ya kulevya wengine wanauza miili yao alaf sijui unazungumza nn ww
Covid 19 uptake is higher in developed world than in underdeveloped countries, within underdeveloped countries uptake is higher among educated and urban populations than otherwise, what can you conclude from these findings?
Jpm alifia mikononi mw madakatari wa kenyaUmesifia kabila lake ona anavyojibamba![]()
Na lini mlimtibu Lissu
Yn unasema kabisa waliompa first aid Lissu ni wajaluo na co Wakenya, umeingia mtego unaowamaliza nyie wakunya wa ukabila.
Alafu ukinipa ushahidi JPM alitibiwa kwenu navunja simu![]()
Mzena hospital iko KenyaJpm alifia mikononi mw madakatari wa kenya






So what?Jpm alifia mikononi mw madakatari wa kenya
Acha uongo mzee picha tunazo midude yenu inakimbia kwenye vumbi kila sikuHahaha, you fool,
Mbeya Mwanza
Mbeya Arusha
Mbeya Songea
Mbeya Tabora
Mbeya Dodoma
Mbeya Dar
Mbeya Sumbawanga
kote huku ni Lami mwendo wa Mtelezo tu.
Decent buses like these can’t commute Mbeya- Tanga in poor Roads like huko Kunyaland
View attachment 1978137
Your country is poor and small, you have only 10k of paved roads
Km kawa mi boksi bodi ya uchinaView attachment 1978145
View attachment 1978146
View attachment 1978147
View attachment 1978149
View attachment 1978150
View attachment 1978151
Public Transport in banana republic of Kunayaland, Failed state indeed
This is a company based in Morogoro Town
Just added 20 new buses to its fleet last week View attachment 1978158


kigoma ndio ulikuwa mkoa wa kwanza kuwa na stand ya kisasaWewe ni muongo mzee sisi kigoma mjini na kasulu mjini tulijengewa stand na magufuli tembea uone
Ni kuamua tu!!!Ni kutangaza tenders kwenye mambo yote muhimu kwa ajili ya kuli maintain jengo!!! Ikiwemo usafi wa nje na ndani, landscaping mambo civil, mechanics and Telecommunications...etc,unaweka vigezo unawashindanisha pia anayeshinda unamtrack kwa kupitia performance appraisals, ukiwashindanisha hawa mabwana huwa wanakuwa na adabu kweli kweli kwenye kuperform.