Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Geza ndg yangu usiwe kama uyoga!!!Mara chakula mara sumu!!! Tufocus kwny future!!!Malumbano yenu kuna watu hata yatufurahishi humu ndani kwa kweli!!!Hasa mnapotukana viongozi wakubwa wa nchi, viongozi hao hao wakubwa wengine wana umri wa baba zenu au mama zenu ukiachana na wadhifa wao wa uongozi!!!mnaweza pia kukosoa kwa staha tu si lazima lugha za kejeli na matusi!!!Mnatukaniana mpk wazazi ambao humu ndani hata hawahusiki.
Niambie kipi kibaya nilichoandika? Ukinitukana mama yako anahusika!
 
mzee, Magufuli alikuwa a poisonous chalice to our togetherness, u drink his charm concortion u die of ignorance and stupidiy, he was very parochial and actually alikuwa rediculated all over the globe na theory zake za Corona! In short very controversial and devisive and incitive, he could talk of graft with all jugular vein out! Then tomorrow he retreats home and initiates a similar project in his backyard Chato with all the signs of serious tribalism and impunity! Yaani was never reliable! msome vizuri utagundua ninachosema! Anaweza kusema mradi huu ni wa rushwa na kelele nyingi kesho unasikia mradi kama huohuo unajengwa kijijini kwake! Sabaya kapewa 30 zake kwa ujinga wa kutukuza Magufuli saahii hayupo kumkingia kifua!

CC: malaya wa Kisiasa Baba na mama yake mzazi
Nilijua ww ni mjinga kumbe pia ni mpumbavu, nionyeshe chato imenufaikaje kwa ujenzi wa SGR,Upanuzi wa bandari zote, ujenzi wa hospitail ya rufa mtwara?, chelezo mwanza, kuamishia makao makuu dodoma?,...kwa akili iyo mafi ya kunya unakenua tu apa km chizi wacha kutuonyesha ufalamanga wako...ww kwa kitu gani ulicho ifanyia hii nchi ili hata nafasi ya kumkosoa JPM?
 
Ila ni fikra za wengi wenu humu, unsubstantiated argument and skewed reasoning is your middle name.,
Nyinyi Wakenya ni watu wadogo sn humu ndani, hapa nipo napambana na hawa Watz malaya so nyie wakunya nimewaweka pending.
 
Nilijua ww ni mjinga kumbe pia ni mpumbavu, nionyeshe chato imenufaikaje kwa ujenzi wa SGR,Upanuzi wa bandari zote, ujenzi wa hospitail ya rufa mtwara?, chelezo mwanza, kuamishia mji dodoma?,...kwa akili iyo mafi ya kunya unakenua tu apa km chizi wacha kutuonyesha ufalamanga wako...ww kwa kitu gani ulicho ifanyia hii nchi ili hata nafasi ya kumkosoa JPM?
Kijana, mpumbavu/mafi ya kunya/chizi ni mama yako mzazi aliyekuzaa wewe mwenye mdomo mchafu! Kamfukue Magufuli umuulize miili ya Azory Gwamba na Ben Saanane ipo wapi? Yeye kafariki akazikwa wenzie hawakustahili kuzikwa?
 
Nilijua ww ni mjinga kumbe pia ni mpumbavu, nionyeshe chato imenufaikaje kwa ujenzi wa SGR,Upanuzi wa bandari zote, ujenzi wa hospitail ya rufa mtwara?, chelezo mwanza, kuamishia mji dodoma?,...kwa akili iyo mafi ya kunya unakenua tu apa km chizi wacha kutuonyesha ufalamanga wako...ww kwa kitu gani ulicho ifanyia hii nchi ili hata nafasi ya kumkosoa JPM?
Hehehehee mkuu naona umemlipua
 
Ila ni fikra za wengi wenu humu, unsubstantiated argument and skewed reasoning is your middle name.,
Watanzania ambao wamejaa Kenyan section ya jamii forums wanakuanga na very low IQ. Yani argument zao ni za kipuuzi tu. Jamaa anasema tu kitu bila evidence ilimradi kujaza uzi tuu. Yani sometime inabidi una log off usiambukizwe ujinga na watanzania hapa.
 
Mkenya mwenye akili timamu humu humu ni tony tu nyie wengine wote wenge mnabishanaga mpàka na ukweli unaonekana wazi kwa vi article mnavyoandikaga wenyewe sometimes, au hata kwa kulazimisha nyeupe kuwa nyeusi
 
Watanzania ambao wamejaa Kenyan section ya jamii forums wanakuanga na very low IQ. Yani argument zao ni za kipuuzi tu. Jamaa anasema tu kitu bila evidence ilimradi kujaza uzi tuu. Yani sometime inabidi una log off usiambukizwe ujinga na watanzania hapa.
Ile pesa mlevi aliwadanganya KRA imekusanya iko wapi🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watanzania ambao wamejaa Kenyan section ya jamii forums wanakuanga na very low IQ. Yani argument zao ni za kipuuzi tu. Jamaa anasema tu kitu bila evidence ilimradi kujaza uzi tuu. Yani sometime inabidi una log off usiambukizwe ujinga na watanzania hapa.
Wewe mbwa ukiona huu uzi haukufai ondoka kwenye hii platform ya watanzania.
 
Watanzania ambao wamejaa Kenyan section ya jamii forums wanakuanga na very low IQ. Yani argument zao ni za kipuuzi tu. Jamaa anasema tu kitu bila evidence ilimradi kujaza uzi tuu. Yani sometime inabidi una log off usiambukizwe ujinga na watanzania hapa.
Hii Jf ni ya watz co ya Wakenya, hii kenyan section iliwekwa na mTz manake co kwamba founder ni mkenya, so nyie wakunya mkiona hampendezwi nayo ondokeni, mm nataka nyie wote muondoke humu ndani tubaki pekeetu tupeane vitasa.
 
JNHPP na China wapi na wapi au ndo tushapigwa.
Hawachezagi mbali na pesa hao, walikuwepo toka mwanzo.
Na walimtukana kweli kweli.
Basi tuu ni watu kujifanya wajuaji.

Bwawa linachukua muda mrefu sana kujaa, kwanza linabidi lianze kukusanya maji umbali mrefu kabla ya ukuta wa bwawa. Halafu maji na udongo vinatakiwa vitoshane kwanza (saturated) kabla ya maji kuanza kutuama ili yaweze kusogea na kuanza kupanda ukuta wa bwawa. Hivyo Dr. alikuwa sawa kusema wataanza November kulijaza, japo kuwa bado ukuta upo chini.
 
Hzo old fashioned tanzania zipo mpka leo
Utamdanganya nani mzee, mabasi kidogo basi mnajikuta matajiri
endelea kuota ndoto za mfalme juha,

yaani Tz uweke old fashion ya buses utapoteza soko ndani ya sekunde na kama ukipata abiria basi ni wakikenya na kwenye seat mtajikuta mnapwaya
 
Back
Top Bottom