Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Japo kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake, lakini mtu mwenye busara lazima alinganishe mawazo/maoni yake na maoni ya watu walio wengi, au watu wenye sifa na uwezo mkubwa kumzidi.

Kwamfano, katika eneo la siasa na utawala, watanzania tulikua tunamsikiliza Nyerere zaidi, ukikuta unatofautiana na Nyerere lazima ujiulize mara mbili Kama kweli upo sahihi.

Africa na jamii ya watu weusi duniani kote walimkubali Sana Magufuli kiasi cha kimuhita kiongozi wa watu weusi duniani, Kama ulikua unafuatilia vizuri utakubaliana na Mimi katika hilo.
 
Asante sana mkuu.

Cc Malaya wa kisiasa.
 
mzee, Magufuli alikuwa a poisonous chalice to our togetherness, u drink his charm concortion u die of ignorance and stupidiy, he was very parochial and actually alikuwa rediculated all over the globe na theory zake za Corona! In short very controversial and devisive and incitive, he could talk of graft with all jugular vein out! Then tomorrow he retreats home and initiates a similar project in his backyard Chato with all the signs of serious tribalism and impunity! Yaani was never reliable! msome vizuri utagundua ninachosema! Anaweza kusema mradi huu ni wa rushwa na kelele nyingi kesho unasikia mradi kama huohuo unajengwa kijijini kwake! Sabaya kapewa 30 zake kwa ujinga wa kutukuza Magufuli saahii hayupo kumkingia kifua!

CC: malaya wa Kisiasa Baba na mama yake mzazi
 
wakuu, wapotezeeni, pita kama hamjaona.. mwisho wa siku wakiona hamna wanaoreact wataacha wenyewe.. kama wana duku duku.. wafungue thread zao mpya waelezee huko dukuduku zao sio humu.. jion njema
Kama nilivyo andika jana.

Tatizo liko hapa "Tatizo linaanzia mmekutana wote ni aina ile ya watu ambao hamuwezi kumpuuza mtu kwa sababu mtaonekana dhaifu au mtakuwa mmeonesha udhaifu au labda mtaonekana mmeshindwa kumbe walaa hata."
 
Kwahiyo serikali yenu pia inawaficha kwasababu wanaona Tz ni taifa kubwa hivyo hawawezi kusema siri ya taifa kubwa
Wanafichwa matahira ili msizinduke, lkn mazaa akacheki akaona heri apindue manake tayari jiwe gonjwa lilikua limeshatinga ikulu tayari..
Ukaidi mbaya sana walai
 
Back
Top Bottom