Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huna akili mpumbavu ww kwani ww unajua mpka leo uko apo unandika unacho taka unajua wangap wamekufa? Juu ya hii nchi leo unaniletea siasa mjinga kabisa ww utadhani ungekuw kwenye viatu vyake ungefanya any better...unadhani uraisi ni km kilimanjaro una kunywa tuu ...kisa umepewa vijisenti ndio uje kutupigia kelele apa mpuz moja ww....unatuletea mambo ya kucopy na paste apa unafikiri dunia iko white and black wacha upumbav...
mpumbavu na mjinga sio tu mamako bali na babako mzazi pia!
 
Tundu lisu alipost zile gari a week ago zikitembea dar, ali quote na kusema ya kwamba zile hauaga hazionekani mpka afe mtu mkubwa serekalini...
Mama akaanza kujitia kukagua polisi na wanajeshi kumbe mwili upo JKIA kimya kimya unawahishwa bongo
Kumbe kwa kusema hivyo wakenya mliusika kumuua magufuli, maana watz 90% tuna amini magufuli kauliwa wakati hakiwa nusu kaputi
 
kuhuda wa kushangilia nikitukanwa! Magufuli alikuwa ni muuaji na inapaswa wasaidizi wake kama Paul Makonda kuulizwa Saanane na Gwamba wako wapi!
Akuna anae pinga mapungufu..ila kujifany unajua muuwaji alikuwa ni JPM ....unaweza kuleta ushaidi apa?...unaweza niambia kile kikundi kule kibiti kilicho wauwa viongozi wa ccm kilitokea wapi ?au nacho ni chamagufuli?
 
sikuwa najua madudu yake! Kipindi chake cha uhai vitu vilikuwa vinaenda kwa siri! Kuanzia uchaguzi wa 2020 alipoteza credibility kwangu!
Ukujua nini wakati mitandaoni kila kitu kilikwa kinaonyeshwa ? Unafki ndio kitu unajua
 
Hadi Sasa watanzania zaidi ya 700 wameshakufa, is this not serious problem?, Wakenya zaidi ya 5000 wamekufa, South Africa zaidi ya watu 10,000, collectively waafrika zaidi ya laki 3 wamepoteza maisha.

Uchumi wa Africa umerudi nyuma zaidi ya miaka 20 kutokana na impact ya UVIKO 19, biashara zimesambaratika, watu wamepoteza ajira, bado unasema COVID 19 sio seriou, are you really serious?, au kipimo chako cha seriousness ni Italy na nchi za Ulaya?.
Wewe mpuuzi ,watu 700 kufa bila ya kufuata mbinu za kujikinga ni kidogo sana kwa hiyo hesabu ndiyo maana tunaonekana wapumbavu hata na wazungu kwa kukimbilia chanjo maana magonjwa ya kawaida hapa tz yanaua watu kwa malaki kwa mwaka mmoja tu mfano malaria kwa week wanakufa watu wengi kuzidi hao
 
Kwahiyo serikali yenu pia inawaficha kwasababu wanaona Tz ni taifa kubwa hivyo hawawezi kusema siri ya taifa kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo mkenya ajui kuwa ilo analo sema ni zigo la mafi kwa nchi ya kenya maana kwa kusema magu kafia kenya maana yake kenya imeusika na kifo chake
 
Zima kamera isisikike popote kama ni chanjo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maoni yako yanaheshimiwa ila kwangu huyo ni Rais wa hovyo kuwahi tokea Tzn,sio tuu hakuwa mtu wa demokrasia bali alikuwa mwanamgambo asiyetumia akili,Nia njema isiyo na njia sahihi at last disaster .
Sasa wewe si fisadi tu hadi chupi za familia yako unanunua kwa pesa ya ufisadi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
populist Magufuli aliwaruhusu!
Magufuli alikuwa anajua "what next" wewe huoni vision ya mama sa100 kuhusu masoko kukosa watu kwa kujengwa mbali ? Sababu ni vision ya magufuli ilikuwa inatazama miaka 10 hadi 40 ijayo ila vision ya sa 100 inaona miezi 2 hadi 4 tu ndiyo maana kile kitu tunaitaga colonial error mama kashindwa kukitambua na kuanza kuponda masoko kijengwa mbali
 
Wewe kwanza ni mdanganyika mmoja mjinga sana na mwenye IQ ya chini kabisa kwenye hii Kenyan section. Heri mama yako angezaa mkate angalau angeula ashibe. Mitandao ya kijamii kama forums au Facebook ni ya kila mtu.
We chupi ......soma kicha cha huu uzi utajua kwanini watz tupo
 
Hao jamaa wapo nyuma sana aisee, hzo old model zimejaa tanzania mpka basi[emoji1787][emoji1787]
Sio tanga, arusha yani acha2
Kumbe hizi canter ndio brand new bus za kubebea abiria kule nchi ya ahadi kunyaland [emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums1652550327.jpg


Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna badhi ya nchi zinatoa religious or medical exemptions, hivyo msafiri anachotakiwa kufanya ni kuonesha negative covid test (24hrs before boarding).

Marekani, watu wengi tuu wamegoma (karibu 80mil) na ndiyo sababu ya kuanzisha ushurutishwaji.

Tanzania watu wameishi na Corona kwa zaidi ya mwaka bila kuwa na outbreak kama za nchi nyingine, kuna sababu gani ya kulazimisha wakati uhalisia ulishaonekana kuwa si tishio?

Swali la kizushi.
Unafikiri ni nini kilichoifanya Uingereza ghafla kuiweka Tz kwenye "safe" list ya nchi zinazoruhusiwa raia wake kwenda Uingereza, wakati 99% ya Watanzania hawajachanja. Tena baada ya Tony Blair kuwa "mshauri" wa masuala ya Uviko?
Ninaomba ushahidi kuonyesha kwamba wamarekani 80M wamegomea chanjo.

Tanzania zaidi ya watu 700 wamekufa wakiwemo wataalamu na wasomi tuliowasomesha kwa pesa za serikali, uchumi na biashara nyingi zimeparaganyika na watu kupoteza ajira, vipi bado unasema Corona sio tatizo kubwa?, au hadi ndugu yako wa damu atakapofariki ndio utajua kwamba hili tatizo ni real?,

Uingereza imetuweka kwenye list ya nchi zinazoruhusiwa raia wake kuingia Uingereza baada ya Tanzania kukubali kutumia chanjo, kumbuka kwamba hakuna mtanzania atakayeruhusiwa kuingia Uingereza bila kuonyesha certificate ya chanjo
 
Back
Top Bottom