Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,910
- 103,771
Now tujadili kuhusu machinga achaneni nae.
Nasikia kariakoo kilinuka kweli kweli.
JNIA terminal two kufanyiwa ukarabati soon na wafaransa ... . Yo wajuzi wa mambo hii imekaaje kitaalamu The best 007 Geza Ulole Simon
Na hao ndio waliojenga huo uwanja.JNIA terminal two kufanyiwa ukarabati soon na wafaransa ... . Yo wajuzi wa mambo hii imekaaje kitaalamu The best 007 Geza Ulole Simon
Wewe baki kwenye mada hizi.Hii ndo diplomasia sasa Ufaransa ni nchi ya kuiendea sana ni kama suala la EACOP limewaleta karibu! Na ni wazuri kwenye agroprocessing na utalii! nakumbuka Accor group walikuwa wana-run Mt Meru Hotel kabla ya kukarabatiwa !
Usinipangie mimi si kibaraka wa mtu! Nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi!Wewe baki kwenye mada hizi.
JNIA terminal two kufanyiwa ukarabati soon na wafaransa ... . Yo wajuzi wa mambo hii imekaaje kitaalamu The best 007 Geza Ulole Simon
Hapo ndipo watakapo kaaNanusa harufu ya Partnership kati ya Air France na Air Tanzania.







Huu ujenzi wa chuo cha TPSC Chato umefikia wapi?
![]()
MY TAKE
Hii ni baada ya JPM kufutilia mbali mpango wa Chuo cha Kilimo cha Mwl Nyerere Butiama
Hiyo ndiyo principle yangu mkuu, kwamba black ni black and white ni white, sema nyie wachumia tumbo huwa mnabadilika badilika, ila co kesi wana wamenisihi niache hizi mambo so wewe mkuu mm naachana na hizi mambo.Usinipangie mimi si kibaraka wa mtu! Nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi!
Naona mnapigwa home mpaka mumeamua kususaAisee natamani kuona mana leo ilikuwa siyo cku ya kazi hivyo ckwenda town, naskia jamaa wametolewa pale aisee.


Kwhyp hyo dogo akiambiwa nyeupe ni nyeusi ywakubali sioUsinipangie mimi si kibaraka wa mtu! Nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi!


ndo nachoombea kama unakumbuka nilibishana na mtu kuhusu Etihad nikasema watalii wetu wengi wapo Ulaya na North America na it will make sense kuwa na ubia na mashirika ya huko! Abu Dhabi it is too tricky kwetu! Yaani Air Tanzania iangalie kuchukua nafasi ya KQ katika ubia na KLM/Air France tuna kila vigezo vya kufanikiwa hata viwanja vya kimataifa pia! Kumbuka Mwanza na Songwe ni international standards na uwanja wa Msalato unakuja!Nanusa harufu ya Partnership kati ya Air France na Air Tanzania.
ukinigusa nakufyatua nimekoki bunduki hapa!Hiyo ndiyo principle yangu mkuu, kwamba black ni black and white ni white, sema nyie wachumia tumbo huwa mnabadilika badilika, ila co kesi wana wamenisihi niache hizi mambo so wewe mkuu mm naachana na hizi mambo.
Wewe mbwa napigwa na nani.Naona mnapigwa home mpaka mumeamua kususa
Jamaa mpira sasa wameutia kwapani
Hehehe fantastic, sasa twende kaziukinigusa nakufyatua nimekoki bunduki hapa!



