THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
JNIA terminal two kufanyiwa ukarabati soon na wafaransa ... . Yo wajuzi wa mambo hii imekaaje kitaalamu The best 007 Geza Ulole Simon
Wafaransa walishaonyesha interest ya kulikarabati jengo la TB2 toka 2014 kama sio 2015 inasemekana Hayati aliwaeleza pesa hiyo ya kukarabati ni bora watusaidie nguvu kule Dodoma!!!Wakapiga kimya!!!


