There are 3-active international airports in Tanzania, and only one inKenya View attachment 1979741
wew umeona listed airports.. mim nimeona cancelled flights.. afu zote za KQ kasoro hio moja hapo juu
There are 3-active international airports in Tanzania, and only one inKenya View attachment 1979741
wew umeona listed airports.. mim nimeona cancelled flights.. afu zote za KQ kasoro hio moja hapo juu
Amefanya miradi gani ??😆😆😆 zaidi ya kuua uchumi wa pwani na watu wakeWho told you, kw taarifa yako basi uhuru ndio rais ambaye amefanya miradi mingi sana pwani hata kuliko rais yyte yule hapa kenya..
Mambo ya vijiweni peleka kwenu
hebu iweke tuone hadhi yake humu halafu tufananishe na kituo cha mabasi kinachojengwa Chato kijiji cha gharama ya zaidi ya Tshs 15 bln!Wewe ni muongo mzee sisi kigoma mjini na kasulu mjini tulijengewa stand na magufuli tembea uone
Mnaendelea vizuri kwenye mambo haya.
Huu ujenzi wa chuo cha TPSC Chato umefikia wapi?
MY TAKE
Hii ni baada ya JPM kufutilia mbali mpango wa Chuo cha Kilimo cha Mwl Nyerere Butiama
Karibuni home county Mashujaa day tunajitayarisha View attachment 1979795
Serikali ya Dhalimu ndio ilikuwa inaficha , usimlinganishe mama na Dhalimu,She is clear chanjo sio tiba bali inapungiza complications ukipatwa na uviko .Mbona walio chanjwa wanakufa serikali inaficha ,sasa kama wao wapo OK kwanini wasiwe wazi wangapi wamechanjwana kuugua kovidi na wangapi wamechanjwa wamekufa kwa kovidi ,pia kwanini baada ya kuchanjwa ndiyo wanavaa barakoa hadi wakati wanaoga wanaoga na barakoa tuta amini vipi kuwa chanjo ni ya kweli kama awajiachii
Aisee.......Karibuni home county Mashujaa day tunajitayarisha View attachment 1979795
Maoni yako yanaheshimiwa ila kwangu huyo ni Rais wa hovyo kuwahi tokea Tzn,sio tuu hakuwa mtu wa demokrasia bali alikuwa mwanamgambo asiyetumia akili,Nia njema isiyo na njia sahihi at last disaster .Mimi Magufuli ninamkubali Sana, baada ya Nyerere anakuja Magufuli, ameifanya Tanzania iheshimike na kujulikana duniani baada ya kupoteza heshima yake ya kipindi cha Nyerere, lakini Kuna maeneo alifanya vibaya, wakati Nyerere alisisitiza haki za binadamu na demokrasia lakini uchumi ulimshinda, Magufuli alifanya just opposite ya Nyerere.
Nyerere wakati anaondoka madarakani alikiri kwamba sera zake za uchumi hazikufanikiwa Kama alivyotarajia, alikubali na kukiri mapungufu yake, bahati mbaya Magufuli hakupata muda huo, lakini ninaamini Kama angepata muda mrefu wa kuishi na kuandika kitabu Kama alivyofanya Mkapa, angekiri madhahifu yake katika hayo maeneo ya demokrasia, haki za binadamu na mapungufu katika kukabiliana na UVIKO 19
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇰🇪💩💩wew umeona listed airports.. mim nimeona cancelled flights.. afu zote za KQ kasoro hio moja hapo juu